Komredi Shemsa Mohamed: Heri ya Siku ya Wanawake Duniani, 08 Machi, 2024

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945

Komredi Shemsa Mohamed: Heri ya Siku ya Wanawake Duniani, 08 Machi, 2024

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed ametoa salama za kuwatakia Wanawake wote Watumishi nchini Heri katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.

"Nawapongeza Watumishi wote wa Umma Wanawake Tanzania kwa Kuendelea Kutimiza Majukumu yao ipasavyo na Kuchangia kwa kiasi kikubwa mchakato wa Maendeleo nchini" - Ndugu Shemsa Mohamed, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu

KAULI MBIU: Wekeza kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-03-08 at 14.59.54.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-08 at 14.59.54.jpeg
    51.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom