Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo...
Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi!
Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye...
Ukitoa Nchi Moja tuu hapo ya Liberia, zingine ni Nchi zinazoongoza kuzalisha na kuuza Mafuta ghafi kutoka hapa Afrika.
My Take
Afrika Huwa inachekesha sana.Labda Kwa Sasa Nigeria itapunua kidogo...
Kuna taarifa za uwepo wa mgodi mkubwa wa madini katikati ya msitu huko Kitunda Tabora mpakani na Singida. Inadaiwa mgodi huo upo kwa siri na haujulikani katika mfumo wa serikali isipokuwa viongozi...
https://youtu.be/mYG3nEK8BZE
Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na...
Wanabodi,
Declaration of interest, mimi pia ni mwanachama wa chama cha siasa!.
zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake...
Huwa nawazaga hivi kwa viongozi mliopo madarakani hakuna anaewaza kuitawala Afrika Mashariki yote na kulifanya likawa taifa moja?
Kwa sasa naiona hiyo ni fursa kwa viongozi wa Tanzania...
Wanabodi,
Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa inawezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu...
Niaje Wadau,
Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana.
Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama...
Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.
Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.
Hii ni tafsiri tosha kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo kuwa machifu na mashujaa wa mkoa wa Iringa kwa pamoja na umoja wao wamempatia Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa...
Uzi wangu usizalaulike kamwe!
Nataka kujua tu wazee wa Rondo watakao pewa Mwili wa Membe Kwa muda wa massa KUMI, wanatofauti gani na Mshana Jr wa JamiiForums na MADA zake za kichawi?
Je ni Mila...
Umaskini hususani wa kipato ni moja kati ya maadui wa maendeleo ambao Chama Cha Mapinduzi (CCM), serikali zetu pamoja na wadau wa maendeleo wameendelea kupambana nao kwa nguvu zote.
Binafsi...
Mfadhili wa Zamani wa Simba na Mfanyabiashara wa Tanzania , Mnyaturu wa Singida , Azim Dewji , amekutana na Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , katika kilichoitwa Kikao cha dharula ...
Pengine inaweza chukuliwa ni kejeli lakini ukweli ni kwamba ni CCM pekee ambayo ni Taasisi Imara, sio kwa sababu wameunda Serikali lakini namna wanvyotengeneza safu za uongozi.
1. CCM ndio Chama...
Kundi hilo dogo limekuwa mwiba mkubwa kwa nchi yetu kitu pekee wanachojuwa NI WIZI na kuunda mikataba mibovu ambayo inanufaisha wao na familia zao, nasema hayo kwa sababu kundi Hilo linajiita...
1. Nani aliyewajibishwa na ile ripoti ya CAG 2022/2023?
Hii ni kero kubwa sana kwangu, kwa sababu haiwezekani kuwepo na ofsi ya mkaguzi wa mahesabu ya serikali, anayelipwa...
Nje ya CHADEMA, Zitto Kabwe hajawahi kufanya maajabu yoyote, hata Bungeni hajafanikiwa kupeleka Mbunge yoyote ukiondoa wale Wapemba ambao hata wangekuwa Chauma wangeshinda huko Pemba.
Ila akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.