Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,556
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CDM usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CDM ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CDM. Siku CDM ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CDM huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CDM kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CDM. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Eti apambane na CCM? Mmesahau kuwa mgombea toka ccm ndio aliwapa uhai cdm?mmesahau kuwa mzee alipata kura laki nane tu alipogombea Uraisi na hizo kura laki nane zaidi ya aslimia 90 alizipata toka Arusha na Kilimanjaro ?
 
Hujui kabisa mambo.
 
Mbowe ndo kirusi ndan ya Chadema na endapo sku wanachadema akili zikiwarud na kumtoa mbowe madalakan bas ndo utakua mwanzo wa kusogerea chamwino

Ila mkiendelea kumkumbatia uyo kirusi wenu mbowe bas ata 2030 kazi mnayo tena kubwa hamtoboi na hamtatoboa

Mbowe na mbinu zake zle zle zilizoshapitwa na wakat anatishia kutoshiriki uchaguzi wakat uwo amesahau kuna vyama vya upinzani zaid ya 20 vitashiriki uchaguzi ambao anatishia yeye hatoshiriki
 
Hii issue ya kutaka Mbowe aondoke Chadema inawafanya wengine waanze kuona kuna jambo nyuma ya pazia.

Kwanini kuondoka kwa Zitto ACT imekuwa kama sababu kuu ya kumtaka Mbowe nae aondoke Chadema?

Kuna mahusiano gani kati ya ACT na Chadema mpaka kumtaka Mbowe afanye kile alichofanya Zitto kule ACT?

Na hii hoja ya mleta mada inapata nguvu napoona wale puppet wa watawala ndio wanakuwa mstari wa mbele kumtaka Mbowe aondoke Chadema.

Hata kama Mbowe alishasema ataondoka Chadema, lakini ingependeza hao puppet wajue maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa Chadema yatabaki kwa wajumbe wa MM wa chama chao, sio kwa mapenzi ya vibaraka wasiompenda Mbowe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hao watu hao siku watakapoachana na siasa za upinzani mtasubiri sana kupata wengine na mtatawaliwa ki-sultani tena.
Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Utashangaa Zuberi ndiye mw.kiti tena kupitia mahakama na ulinzi mkali kama leprofesoer wa buguruni,alivyoiangamiza cuf maalim😎
 
Mbowe ndo kirusi ndan ya Chadema na endapo sku wanachadema akili zikiwarud na kumtoa mbowe madalakan bas ndo utakua mwanzo wa kusogerea chamwino

Ila mkiendelea kumkumbatia uyo kirusi wenu mbowe bas ata 2030 kazi mnayo tena kubwa hamtoboi na hamtatoboa

Mbowe na mbinu zake zle zle zilizoshapitwa na wakat anatishia kutoshiriki uchaguzi wakat uwo amesahau kuna vyama vya upinzani zaid ya 20 vitashiriki uchaguzi ambao anatishia yeye hatoshiriki
Dunia inatambua Tanzania kuna vyama viwili Vya Siasa CCM na Chadema 🐼
 
Mbowe ndo kirusi ndan ya Chadema na endapo sku wanachadema akili zikiwarud na kumtoa mbowe madalakan bas ndo utakua mwanzo wa kusogerea chamwino

Ila mkiendelea kumkumbatia uyo kirusi wenu mbowe bas ata 2030 kazi mnayo tena kubwa hamtoboi na hamtatoboa

Mbowe na mbinu zake zle zle zilizoshapitwa na wakat anatishia kutoshiriki uchaguzi wakat uwo amesahau kuna vyama vya upinzani zaid ya 20 vitashiriki uchaguzi ambao anatishia yeye hatoshiriki
Kwa hiyo una huruma sana na wanaCHADEMA na CHADEMA yenyewe?
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Sawa asiachie je Chama kina mpango gani wa kutengeneza wakina Mbowe wengine. Ule mpango wa ulio watengeneza wakina Mdee,Mnyika,Zito nk umeishia wapo.
 
Hii issue ya kutaka Mbowe aondoke Chadema inawafanya wengine waanze kuona kuna jambo nyuma ya pazia.

Kwanini kuondoka kwa Zitto ACT imekuwa kama sababu kuu ya kumtaka Mbowe nae aondoke Chadema?

Kuna mahusiano gani kati ya ACT na Chadema mpaka kumtaka Mbowe afanye kile alichofanya Zitto kule ACT?

Na hii hoja ya mleta mada inapata nguvu napoona wale puppet wa watawala ndio wanakuwa mstari wa mbele kumtaka Mbowe aondoke Chadema.

Hata kama Mbowe alishasema ataondoka Chadema, lakini ingependeza hao puppet wajue maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa Chadema yatabaki kwa wajumbe wa MM wa chama chao, sio kwa mapenzi ya vibaraka wasiompenda Mbowe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Halafu Prof Lipumba, Hashim Rungwe na Momose Cheyo hawawataji kabisa dadeki 🐼

Wao ni Mbowe tu
 
Back
Top Bottom