Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es Salaam

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hii leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri ikulu ya Dar es salaam. Rais wetu ameongoza kikao hicho katika siku hii ya leo ambayo Dunia nzima ikisherehekea siku ya wanawake Duniani.

Rais wetu Anaendelea kuchapa kazi na kuonesha ari na morali kubwa sana ya kazi iliyo ndani ya moyo wake na kifua chake.kwa hakika anaipenda kazi yake na anajuwa Watanzania wanataka nini,ni kiongozi ambaye muda wote anawajibika kwa Taifa lake.hana muda wa kupumzika wala kupoteza,kwake hawezi kupoteza siku bila kumuona akiwa kazini katika kutekeleza majukumu yake ya kikazi.

Kwa hakika ni mama ni mlezi ni kiongozi ni Amiri jeshi mkuu na tumaini la watanzania.hii ndio sababu anakuwa anaelewa na kufahamu kila kitu kinachoendelea hapa nchini na kuelewa nini changamoto inayowatesa watanzania.ndio maana amekuwa akishughulikia kero zote zinazojitokeza mbele yetu kama Taifa kwa uharaka sana.. Ni mama aliyejaliwa Karama na kipawa cha uongozi kiongozi anazaliwa na kwa hakika Rais Samia alizaliwa akiwa kiongozi na kibali cha uongozi mkononi mwake.

Rais Samia kwa hakika kaleta pambazuko katika maisha ya watanzania.kikubwa ni kuelewa na kufahamu ya kuwa changamoto huwa hazikosekani katika Taifa.ndio maana Marekani pamoja na kuwa ilipata uhuru wake mwaka 1776 lakini mpaka leo bado inaendelea kukabiliana na kupambana na Changamoto ikimaanisha kuwa bado haijamaliza changamoto hizo.bado ina changamoto za ajira kwa vijana wa kimarekani, gharama kubwa za matibabu, gharama kubwa za maisha na mengine mengi tu.

Hata sisi Tanzania kama Taifa changa tunaendelea kupambana na Changamoto mbalimbali zinazojitokeza mbele yetu.kikubwa na cha kutia matumaini ni kuona namna serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia ikifanya kazi kwa nguvu kubwa na juhudi kubwa katika kutatua na kumaliza changamoto mbalimbali,na kazi hiyo itaendelea siku hadi siku.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
LUCAS Acha kuingilia kazi za Watu utakuja Potosha Taarifa nyeti yatakayokupata usiombe msaada wapo watu wanalipwa kwa kazi hizo wewe kiherehere cha nini
Sasa ningepata wapi taarifa ikiwa hazijatolewa na wahusika ndugu yangu mtanzania? Mimi sipo katika baraza la mawaziri na hivyo ili nipate taarifa ni lazima zitolewe kwanza na wahusika .kwa hiyo mimi sijatenda jinai wala kosa lolote lile
 
Usingeweka hizo taarifa za kikao ikulu ukawaachia wenyewe ungeumwa malaria au? Kwani wewe ni chombo cha habari? Au msemaji wa ikulu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hii leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri ikulu ya Dar es salaam. Rais wetu ameongoza kikao hicho katika siku hii ya leo ambayo Dunia nzima ikisherehekea siku ya wanawake Duniani.

Rais wetu Anaendelea kuchapa kazi na kuonesha ari na morali kubwa sana ya kazi iliyo ndani ya moyo wake na kifua chake.kwa hakika anaipenda kazi yake na anajuwa Watanzania wanataka nini,ni kiongozi ambaye muda wote anawajibika kwa Taifa lake.hana muda wa kupumzika wala kupoteza,kwake hawezi kupoteza siku bila kumuona akiwa kazini katika kutekeleza majukumu yake ya kikazi.

Kwa hakika ni mama,ni mlezi,ni kiongozi ,ni Amiri jeshi mkuu na tumaini la watanzania.hii ndio sababu anakuwa anaelewa na kufahamu kila kitu kinachoendelea hapa nchini na kuelewa nini changamoto inayowatesa watanzania.ndio maana amekuwa akishughulikia kero zote zinazojitokeza mbele yetu kama Taifa kwa uharaka sana.. Ni mama aliyejaliwa Karama na kipawa cha uongozi.kiongozi anazaliwa na kwa hakika Rais Samia alizaliwa akiwa kiongozi na kibali cha uongozi mkononi mwake.

Rais Samia kwa hakika kaleta pambazuko katika maisha ya watanzania.kikubwa ni kuelewa na kufahamu ya kuwa changamoto huwa hazikosekani katika Taifa.ndio maana Marekani pamoja na kuwa ilipata uhuru wake mwaka 1776 lakini mpaka leo bado inaendelea kukabiliana na kupambana na Changamoto ikimaanisha kuwa bado haijamaliza changamoto hizo.bado ina changamoto za ajira kwa vijana wa kimarekani, gharama kubwa za matibabu, gharama kubwa za maisha na mengine mengi tu.

Hata sisi Tanzania kama Taifa changa tunaendelea kupambana na Changamoto mbalimbali zinazojitokeza mbele yetu.kikubwa na cha kutia matumaini ni kuona namna serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia ikifanya kazi kwa nguvu kubwa na juhudi kubwa katika kutatua na kumaliza changamoto mbalimbali,na kazi hiyo itaendelea siku hadi siku.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Jf wameanzishe jukwaa la machawa hamia kule huku zibaki hoja critical unaudhi wengi...
 
Eeeehee! Ikawaje? Akaahidi kabisa kuongeza posho ya machawa?!
 
Back
Top Bottom