Tunaona Rais akifanya ziara kupitia mikutano ya ndani zaidi kuliko mikutano ya hadhara!
Watu wanakusanywa kwenye Mahema toka sehemu za mbali na eneo husika sababu Idadi haitoshi kuwekwa maeneo ya...
Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya.
Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi...
Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu .
Ndiyo maana Chawa wa Mama...
Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao.
Ni kama...
Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima
Na MWANDISHI WETU, Mbarali
MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023...
Ukijaribu kufuatilia ziara za Rais Magufuli ndani ya nchi na msafara wake wananchi wengi sana wanajitokeza kila kwenye kijiji au miji midogo iliyopo kanda ya barabara na karibu maeneo hayo yote...
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku.
Ziara za sehemu mbalimbali...
Swali makini:
Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Kila sehemu ambayo Mh Rais Magufuli anapita hasa za Mikoani tunaona mambo mengi sana zaidi changamoto zinazowakabili wananchi
Kikubwa ambacho nakiona ni urasimu wa baadhi ya viongozi wenye...
Wanajamii kwa ilipofikia NCHI yetu suala la kuiheshimu KATIBA kama HAYATI BABA wa TAIFA alivyokuwa ANALIPIGANIA kwa sasa HALIPO TENA.KATIBA inachezewa KATIBA haiogopwi KATIBA ni Kitabu kama Vitabu...
Habari za jumapili!
Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo.
"Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo.
Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa...
Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli .
Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa...
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo...
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu!
Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu...
Huyu kiongozi ana weredi na haiba ya kutosha, ni mfano bora kwangu kiongozi inabidi awe mnyenyekevu asiyependa makuu, SAID MTANDA sio mla rushwa kama amewahi kufanya hilo basi alikuwa hajui kuwa...
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama...
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.
Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao...
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la...
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.