Mwananchi: Aandaliwe mwanamke mwingine kuongoza nchi baada ya Rais Samia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
KUELEKEA miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, akiwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu hapa nchini, mkazi wa Dar es Salaam, Lucas Emmanuel amesema kuna haja akaandaliwa mwanamke mwingine, ili atakapomaliza muda wake Rais Samia nchi iendelee kuongozwa na mwanamke.

My Take
Naunga mkono hoja,Dk.Tulia Ackson Atatufaa baada ya Dk.Samia kuondoka Madarakani 2030.

Wanawake wameshaona mfano Kwa Samia wajitoeze Haina haja tena ya mbeleko.

ati nini?...
IMG_20240307_104113.jpg
 
Na kama Dkt Tulia Acksoni Mwansasu atakuwa Rais basi Uwaziri mkuu ampatie Mheshimiwa mwamba mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Paul Christian Makonda. Kwa hakika Dkt Tulia atafurahi mwenyewe tutakuwa tunapaa kama ndege vita.

Mimi nawaunga kwa dhati ya moyo wangu Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Paul Makonda .hilo sijaficha maana kama navyomuunga mkono Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan mpaka mwisho na kwa kila kitu ndivyo nitakavyo endelea Kiwanga mkono hawa viongozi wangu.

Hii ni kutokana na uchapa kazi wao,ujasiri wao,ubunifu wao,uzalendo wao, unyenyekevu wao na maono yao makubwa waliyonayo katika vifua vyao.
 
..umeambiwa upendekeze mwanamke, sasa kwanini unamtaja Bashite? Au kwasababu Bashite ameongeza makalio yamekuwa makubwa kuzidi ya kina dada?
 
KUELEKEA miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, akiwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu hapa nchini, mkazi wa Dar es Salaam, Lucas Emmanuel amesema kuna haja akaandaliwa mwanamke mwingine, ili atakapomaliza muda wake Rais Samia nchi iendelee kuongozwa na mwanamke.

My Take
Naunga mkono hoja,Dk.Tulia Ackson Atatufaa baada ya Dk.Samia kuondoka Madarakani 2030.

Wanawake wameshaona mfano Kwa Samia wajitoeze Haina haja tena ya mbeleko.

View attachment 2934331
Merry chatanda atawafaa
 
🚮
 
Na kama Dkt Tulia Acksoni Mwansasu atakuwa Rais basi Uwaziri mkuu ampatie Mheshimiwa mwamba mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Paul Christian Makonda. Kwa hakika Dkt Tulia atafurahi mwenyewe tutakuwa tunapaa kama ndege vita.

Mimi nawaunga kwa dhati ya moyo wangu Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Paul Makonda .hilo sijaficha maana kama navyomuunga mkono Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan mpaka mwisho na kwa kila kitu ndivyo nitakavyo endelea Kiwanga mkono hawa viongozi wangu.

Hii ni kutokana na uchapa kazi wao,ujasiri wao,ubunifu wao,uzalendo wao, unyenyekevu wao na maono yao makubwa waliyonayo katika vifua vyao.
🚮
 
Uzuri hata hayo mafisadi huko kijani yanaweza kuruhusu upuuzi wowote kutokea ila si huo wa kuruhusu sketi zipokezane tu hiyo nafasi kama vile Ni uenyekiti wa kikoba.
you can do nothing or go no where, when God says Yes 🐒

Sauti ya wengi ni saut ya Mungu 🐒
 
Back
Top Bottom