January Makamba: Rais Samia uliingia madarakani katika kipindi kigumu ambacho Watanzania walifiwa na Rais lakini umetuongoza vyema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,990
142,007
Waziri wa mambo ya Nje mh January Makamba amewaambia diaspora nchini Italy Kwamba tuna kila sababu ya kumchagua tena Rais Samia katika Uchaguzi wa 2025

January amesema Rais Samia alichukua Madaraka katika Kipindi kigumu sana katikati ya msiba ambapo Watanzania walifiwa na Rais wao Kipenzi John Magufuli

Lakini pamoja na Mazingira yale magumu sana Rais Samia ameweza kutuongoza vema na tunazidi kusonga mbele kimaendeleo

Mlale Unono

Ramadan Mubarak 😄

Kwako manka Erythrocyte 😂🔥
 
Hata wewe ungeweza
 
Anajirekebisha mdogo mdogo.

Aliupata ujumbe wa Mzee MwanaKijiji na Watanzania wengine Wazalendo.

Hajanena bado.
 
Haya majizi ya CCM si ya kuyaamini. Chochote anachoongea analenga tumbo lake
 
Back
Top Bottom