Matumizi ya Ikulu mbili (Magogoni na Dodoma) siyo chanzo cha kutumia trilioni 33 kama OC huku 15Trln zikiwa za maendeleo?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi.

Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji ambao unahitaji miti mingi na maji safi kutoka kwenye maziwa au mito.

Lakini pamoja na ubaya wa mji wenyewe tayari JPM aliweka Ikulu. Awali Majaliwa alitaka watu wasisafiri bila kibali kwa kutambua kwamba Dodoma haizoeleki. Hata wagogo tu wakina Malecela na Ndugai wanaishi DSM kuliko Dodoma. Upepo wa Dodoma unafifisha uzuri wa viumbe na hivyo hata mifugo haiwezi kustawi na kunawiri. Mimea nayo haikubali, yote hii ni kutokana na hali ya hewa . Factor hizi zilimfanya Majaliwa akwame kudhibiti watu na matokeo yake tunaona siku nne yupo Dar na siku tatu Dodoma. Tunamwona Makamu wa Rais akitumia muda mwingi DAR kuliko Dodoma . Mawaziri mbinu yao kubwa siyo kwenda DAR coz mabosi wapo DAR, wao wanapishana kwenye mikoa....Mawaziri wengi wamekwenda kuingilia majukumu ya RC na DC. Kila siku wapo mkoani.

Nimeweka mandhari hii hapo juu kama msingi wakujadili ukubwa wa bajeti iliyotengwa kwa mwaka ujao ya maendeleo against matumizi ya kawaida.

Tumeambiwa tutatumia trilioni 33 kama matumizi ya kawaida against Trilioni 15 za maendeleo. Moja ya eneo linalokula zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya matumizi ya kawaida ni safari za viongozi kuanzia kwenye wilaya hadi mkuu wa nchi.

Lakini safari hizi nyingi zitachangiwa sana na ukweli kwamba wadau wa maendeleo wanaishi DAR na hawapo tayari kuhamia Dodoma. Hivyo viongozi wakubwa wanapokuwa DAR maana yake mawaziri lazima wawepo, wakuu wa vyombo vya usalama wawepo, majaji wawepo, viongozi wa bunge wawepo , makatibu wakuu wawepo nk. Kwa mwezi mmoja naamini zaidi ya Trilioni moja inatumika kulipa safari za viongozi

Key Message; MHE RAIS baada ya bajeti kupitishwa fanya jaribio lituatalo mara tatu kwa mwaka.

Hazina wanapotoa OC waambie wachukue OC ya taasisi zote inayohusu safari then waweke kwenye akaunti let say iite SHULE. Kwa mwezi huo piga marufuku safari zote na fedha husika zipeleke kujenga shule

Baada ya miezi mitatu, fungua akaunti nyingine iite afya. Chukua fedha zote za safari ikiwemo mafuta then kajenge na kukarabati zahanati na vituo vya afya

Waruhusu wazurure miezi mitatu kisha mwezi unaofuata chukua fedha zote za safari ziweke kwenye akaunti kisha ziite maji; tumia fedha hizo kupeleka maji ya ziwa Victoria Dodoma, Manyara, Singida na baadhi ya maeneo ya Tanga kama Kilindi........

Awamu ya nne fungua akaunti iite Barabara za mitaa; chukua hizo fedha zipeleke kwa Tarura watengeneze barabara za vijiji.

Mama ukitumia mbinu hii hakuna kiongozi atakufa njaa kwa kutosafiri miezi minne kwenye mwaka mzima; hakuna shughuli ya serikali itaathirika kwa mawaziri na viongozi wengine kutosafiri kwa miezi minne ndani ya mwaka na hakuna kiongozi wa taasisi itakayoweza kuhoji kwanini umetumia fedha za OC kuwagawia wananchi.

Mwisho, ukifanya haya kati ya Julai 2024 na Julai 2025, badala ya kuzunguka kupiga kampeni utazunguka kwa miezi miwili kabla ya uchaguzi kufanya uzinduzi wa miradi iliyotokana na kupunguza gharama za safari za viongozi nchni.

Lakini pia mkakati huu unakwenda kukuweka karibu na wananchi na kujipunguzia tension na matishio ya makundi ya kisiasa yanayojiona yanakubalika kuliko wewe kwa wapiga kura.

Fanya haya naamini hautafeli.
 
Unapigia mbuzi gitaa, hawako Kwa ajili ya maslahi, maendeleo na ustawi wako. Wapo kwa ajili ya Maslahi.

Maendeleo na Ustawi wa Maisha Yao na Vizazi Vyao.

Jitafute ukijipata Tafuna Upate Ustawi wa Mwili Nafsi na akili

###BadoSijajipata###
 
Hoja ipo sawa.

Lakini mambo yanayo chochea ukuaji uchumi nayo yafikiriwe.

Usimamizi wa taasisi zinazoathiri mwenendo wa ukuaji uchumi wamekuwa na haraka ya kupanga bei kwa jinsi wanavyojisikia(EWURA,LATRA,n.k) na hivyo kuchangia mfumuko wa bei.

Mfano,matamko ya kupandisha bei ya mafuta ya mwezi unaofuata(ipo kama utabiri),na LATRA anapanga ongezeko la nauli za vyombo vya usafiri, lakini bei ya mafuta ikishuka sijawahi kusikia nauli inashushwa.

Kupanda kwa bei za mafuta imeathiri imani ya wafanyabiashara mpaka kwa mlaji wa mwisho.

Serikali idhibiti hizi Mamlaka ziache kupandisha bei kwa maslahi ya wafanyabiashara.
 
Wao wanakwambia kila mkoa ni ikulu ndogo; kwa hiyo Magogoni ina sifa & hadhi kama hiyo.
 
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi.

Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji ambao unahitaji miti mingi na maji safi kutoka kwenye maziwa au mito.

Lakini pamoja na ubaya wa mji wenyewe tayari JPM aliweka Ikulu. Awali Majaliwa alitaka watu wasisafiri bila kibali kwa kutambua kwamba Dodoma haizoeleki. Hata wagogo tu wakina Malecela na Ndugai wanaishi DSM kuliko Dodoma. Upepo wa Dodoma unafifisha uzuri wa viumbe na hivyo hata mifugo haiwezi kustawi na kunawiri. Mimea nayo haikubali, yote hii ni kutokana na hali ya hewa . Factor hizi zilimfanya Majaliwa akwame kudhibiti watu na matokeo yake tunaona siku nne yupo Dar na siku tatu Dodoma. Tunamwona Makamu wa Rais akitumia muda mwingi DAR kuliko Dodoma . Mawaziri mbinu yao kubwa siyo kwenda DAR coz mabosi wapo DAR, wao wanapishana kwenye mikoa....Mawaziri wengi wamekwenda kuingilia majukumu ya RC na DC. Kila siku wapo mkoani.

Nimeweka mandhari hii hapo juu kama msingi wakujadili ukubwa wa bajeti iliyotengwa kwa mwaka ujao ya maendeleo against matumizi ya kawaida.

Tumeambiwa tutatumia trilioni 33 kama matumizi ya kawaida against Trilioni 15 za maendeleo. Moja ya eneo linalokula zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya matumizi ya kawaida ni safari za viongozi kuanzia kwenye wilaya hadi mkuu wa nchi.

Lakini safari hizi nyingi zitachangiwa sana na ukweli kwamba wadau wa maendeleo wanaishi DAR na hawapo tayari kuhamia Dodoma. Hivyo viongozi wakubwa wanapokuwa DAR maana yake mawaziri lazima wawepo, wakuu wa vyombo vya usalama wawepo, majaji wawepo, viongozi wa bunge wawepo , makatibu wakuu wawepo nk. Kwa mwezi mmoja naamini zaidi ya Trilioni moja inatumika kulipa safari za viongozi

Key Message; MHE RAIS baada ya bajeti kupitishwa fanya jaribio lituatalo mara tatu kwa mwaka.

Hazina wanapotoa OC waambie wachukue OC ya taasisi zote inayohusu safari then waweke kwenye akaunti let say iite SHULE. Kwa mwezi huo piga marufuku safari zote na fedha husika zipeleke kujenga shule

Baada ya miezi mitatu, fungua akaunti nyingine iite afya. Chukua fedha zote za safari ikiwemo mafuta then kajenge na kukarabati zahanati na vituo vya afya

Waruhusu wazurure miezi mitatu kisha mwezi unaofuata chukua fedha zote za safari ziweke kwenye akaunti kisha ziite maji; tumia fedha hizo kupeleka maji ya ziwa Victoria Dodoma, Manyara, Singida na baadhi ya maeneo ya Tanga kama Kilindi........

Awamu ya nne fungua akaunti iite Barabara za mitaa; chukua hizo fedha zipeleke kwa Tarura watengeneze barabara za vijiji.

Mama ukitumia mbinu hii hakuna kiongozi atakufa njaa kwa kutosafiri miezi minne kwenye mwaka mzima; hakuna shughuli ya serikali itaathirika kwa mawaziri na viongozi wengine kutosafiri kwa miezi minne ndani ya mwaka na hakuna kiongozi wa taasisi itakayoweza kuhoji kwanini umetumia fedha za OC kuwagawia wananchi.

Mwisho, ukifanya haya kati ya Julai 2024 na Julai 2025, badala ya kuzunguka kupiga kampeni utazunguka kwa miezi miwili kabla ya uchaguzi kufanya uzinduzi wa miradi iliyotokana na kupunguza gharama za safari za viongozi nchni.

Lakini pia mkakati huu unakwenda kukuweka karibu na wananchi na kujipunguzia tension na matishio ya makundi ya kisiasa yanayojiona yanakubalika kuliko wewe kwa wapiga kura.

Fanya haya naamini hautafeli.
NCHI MASIKINI ILA INA MATUMIZI YA NCHI TAJIRI
 
Hoja yako iko kwa nia njema mkuu.
Lakini fedha za OC zisichukuliwe kama fedha za safari tu, OC ni fedha za uendeshaji, Hospital zinahitaji mfuta ili ambulance ziweze fanya kazi saa 24, umeme, nawasiliano, wahudumu wafanye kazi muda wa ziada inabidi walipwe, Maafisa Ugani lazima wapate mafuta kuwafikia Wananch, RC, DC, DED, Wakuu wa Idara wanatakiwa kuwafikia Wananchi , lakini kumbuka FY 2024/2025 ni mwaka ambao una beba chaguzi mbili ...
 
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi.

Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji ambao unahitaji miti mingi na maji safi kutoka kwenye maziwa au mito.

Lakini pamoja na ubaya wa mji wenyewe tayari JPM aliweka Ikulu. Awali Majaliwa alitaka watu wasisafiri bila kibali kwa kutambua kwamba Dodoma haizoeleki. Hata wagogo tu wakina Malecela na Ndugai wanaishi DSM kuliko Dodoma. Upepo wa Dodoma unafifisha uzuri wa viumbe na hivyo hata mifugo haiwezi kustawi na kunawiri. Mimea nayo haikubali, yote hii ni kutokana na hali ya hewa . Factor hizi zilimfanya Majaliwa akwame kudhibiti watu na matokeo yake tunaona siku nne yupo Dar na siku tatu Dodoma. Tunamwona Makamu wa Rais akitumia muda mwingi DAR kuliko Dodoma . Mawaziri mbinu yao kubwa siyo kwenda DAR coz mabosi wapo DAR, wao wanapishana kwenye mikoa....Mawaziri wengi wamekwenda kuingilia majukumu ya RC na DC. Kila siku wapo mkoani.

Nimeweka mandhari hii hapo juu kama msingi wakujadili ukubwa wa bajeti iliyotengwa kwa mwaka ujao ya maendeleo against matumizi ya kawaida.

Tumeambiwa tutatumia trilioni 33 kama matumizi ya kawaida against Trilioni 15 za maendeleo. Moja ya eneo linalokula zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya matumizi ya kawaida ni safari za viongozi kuanzia kwenye wilaya hadi mkuu wa nchi.

Lakini safari hizi nyingi zitachangiwa sana na ukweli kwamba wadau wa maendeleo wanaishi DAR na hawapo tayari kuhamia Dodoma. Hivyo viongozi wakubwa wanapokuwa DAR maana yake mawaziri lazima wawepo, wakuu wa vyombo vya usalama wawepo, majaji wawepo, viongozi wa bunge wawepo , makatibu wakuu wawepo nk. Kwa mwezi mmoja naamini zaidi ya Trilioni moja inatumika kulipa safari za viongozi

Key Message; MHE RAIS baada ya bajeti kupitishwa fanya jaribio lituatalo mara tatu kwa mwaka.

Hazina wanapotoa OC waambie wachukue OC ya taasisi zote inayohusu safari then waweke kwenye akaunti let say iite SHULE. Kwa mwezi huo piga marufuku safari zote na fedha husika zipeleke kujenga shule

Baada ya miezi mitatu, fungua akaunti nyingine iite afya. Chukua fedha zote za safari ikiwemo mafuta then kajenge na kukarabati zahanati na vituo vya afya

Waruhusu wazurure miezi mitatu kisha mwezi unaofuata chukua fedha zote za safari ziweke kwenye akaunti kisha ziite maji; tumia fedha hizo kupeleka maji ya ziwa Victoria Dodoma, Manyara, Singida na baadhi ya maeneo ya Tanga kama Kilindi........

Awamu ya nne fungua akaunti iite Barabara za mitaa; chukua hizo fedha zipeleke kwa Tarura watengeneze barabara za vijiji.

Mama ukitumia mbinu hii hakuna kiongozi atakufa njaa kwa kutosafiri miezi minne kwenye mwaka mzima; hakuna shughuli ya serikali itaathirika kwa mawaziri na viongozi wengine kutosafiri kwa miezi minne ndani ya mwaka na hakuna kiongozi wa taasisi itakayoweza kuhoji kwanini umetumia fedha za OC kuwagawia wananchi.

Mwisho, ukifanya haya kati ya Julai 2024 na Julai 2025, badala ya kuzunguka kupiga kampeni utazunguka kwa miezi miwili kabla ya uchaguzi kufanya uzinduzi wa miradi iliyotokana na kupunguza gharama za safari za viongozi nchni.

Lakini pia mkakati huu unakwenda kukuweka karibu na wananchi na kujipunguzia tension na matishio ya makundi ya kisiasa yanayojiona yanakubalika kuliko wewe kwa wapiga kura.

Fanya haya naamini hautafeli.
Si yule mshamba wenu alienda kuangamiza matrilioni eti kujenga makao makuu ya nchi. Mshamba ni mshamba tu alitugharimu sana
 
Unatafuta kulogwa ufe wewe.
 
Mkuu upo sahihi ila huwezi sema 30% ya hio pesa ni pesa za safari
 
Si yule mshamba wenu alienda kuangamiza matrilioni eti kujenga makao makuu ya nchi. Mshamba ni mshamba tu alitugharimu sana
Hakukuwa na sababu ya kuhamishia makao ya serikali Dodoma. Nchi nyingi tu tena kubwa miji yao mikuu haiko katikati ya nchi, nyingine iko embezoni kabisa. Maendeleo katika teknolojia ya mawasiliano- e-mai, e-commerce, e-conference etc yamerahisisha sana kazi. Mfano mtu aliyeko Bukoba anaweza kuingia mkataba na mtu aliyeko Mtwara bila kulazimu mmoja wao kusafiri. Ile ilikuwa tu kujitafutia sifa kwamba "mimi nimeweza" na kuliingiza taifa kwenye gharama kubwa isiyokuwa lazima.
 
Na Kuna hii ikulu ya Tunguu Zanzibar. Nilikua siijui..!!!!!🤔🤔🤫🤫🤫
 
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi.

Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji ambao unahitaji miti mingi na maji safi kutoka kwenye maziwa au mito.

Lakini pamoja na ubaya wa mji wenyewe tayari JPM aliweka Ikulu. Awali Majaliwa alitaka watu wasisafiri bila kibali kwa kutambua kwamba Dodoma haizoeleki. Hata wagogo tu wakina Malecela na Ndugai wanaishi DSM kuliko Dodoma. Upepo wa Dodoma unafifisha uzuri wa viumbe na hivyo hata mifugo haiwezi kustawi na kunawiri. Mimea nayo haikubali, yote hii ni kutokana na hali ya hewa . Factor hizi zilimfanya Majaliwa akwame kudhibiti watu na matokeo yake tunaona siku nne yupo Dar na siku tatu Dodoma. Tunamwona Makamu wa Rais akitumia muda mwingi DAR kuliko Dodoma . Mawaziri mbinu yao kubwa siyo kwenda DAR coz mabosi wapo DAR, wao wanapishana kwenye mikoa....Mawaziri wengi wamekwenda kuingilia majukumu ya RC na DC. Kila siku wapo mkoani.

Nimeweka mandhari hii hapo juu kama msingi wakujadili ukubwa wa bajeti iliyotengwa kwa mwaka ujao ya maendeleo against matumizi ya kawaida.

Tumeambiwa tutatumia trilioni 33 kama matumizi ya kawaida against Trilioni 15 za maendeleo. Moja ya eneo linalokula zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya matumizi ya kawaida ni safari za viongozi kuanzia kwenye wilaya hadi mkuu wa nchi.

Lakini safari hizi nyingi zitachangiwa sana na ukweli kwamba wadau wa maendeleo wanaishi DAR na hawapo tayari kuhamia Dodoma. Hivyo viongozi wakubwa wanapokuwa DAR maana yake mawaziri lazima wawepo, wakuu wa vyombo vya usalama wawepo, majaji wawepo, viongozi wa bunge wawepo , makatibu wakuu wawepo nk. Kwa mwezi mmoja naamini zaidi ya Trilioni moja inatumika kulipa safari za viongozi

Key Message; MHE RAIS baada ya bajeti kupitishwa fanya jaribio lituatalo mara tatu kwa mwaka.

Hazina wanapotoa OC waambie wachukue OC ya taasisi zote inayohusu safari then waweke kwenye akaunti let say iite SHULE. Kwa mwezi huo piga marufuku safari zote na fedha husika zipeleke kujenga shule

Baada ya miezi mitatu, fungua akaunti nyingine iite afya. Chukua fedha zote za safari ikiwemo mafuta then kajenge na kukarabati zahanati na vituo vya afya

Waruhusu wazurure miezi mitatu kisha mwezi unaofuata chukua fedha zote za safari ziweke kwenye akaunti kisha ziite maji; tumia fedha hizo kupeleka maji ya ziwa Victoria Dodoma, Manyara, Singida na baadhi ya maeneo ya Tanga kama Kilindi........

Awamu ya nne fungua akaunti iite Barabara za mitaa; chukua hizo fedha zipeleke kwa Tarura watengeneze barabara za vijiji.

Mama ukitumia mbinu hii hakuna kiongozi atakufa njaa kwa kutosafiri miezi minne kwenye mwaka mzima; hakuna shughuli ya serikali itaathirika kwa mawaziri na viongozi wengine kutosafiri kwa miezi minne ndani ya mwaka na hakuna kiongozi wa taasisi itakayoweza kuhoji kwanini umetumia fedha za OC kuwagawia wananchi.

Mwisho, ukifanya haya kati ya Julai 2024 na Julai 2025, badala ya kuzunguka kupiga kampeni utazunguka kwa miezi miwili kabla ya uchaguzi kufanya uzinduzi wa miradi iliyotokana na kupunguza gharama za safari za viongozi nchni.

Lakini pia mkakati huu unakwenda kukuweka karibu na wananchi na kujipunguzia tension na matishio ya makundi ya kisiasa yanayojiona yanakubalika kuliko wewe kwa wapiga kura.

Fanya haya naamini hautafeli.
Jomo Kenyata akuwahi sema Nyererw anatawala maiti, kwa kifupi hawa Viongozi wanatalwa maiti, na wanafanya haya wakijua kwenye nafisi zao fika kwamba Watanzania ni watu wa kulalamika tu, kwenye vitendo ni sifuri kabisa.

Mengi yanayo endelea kwenye hii nchi ni kwa sababu watawala walisha soma watawaliwa wakaona ni watu wa aina gani.
 
Unapigia mbuzi gitaa, hawako Kwa ajili ya maslahi, maendeleo na ustawi wako. Wapo kwa ajili ya Maslahi.

Maendeleo na Ustawi wa Maisha Yao na Vizazi Vyao.

Jitafute ukijipata Tafuna Upate Ustawi wa Mwili Nafsi na akili

###BadoSijajipata###
Wanajua wanatawala aina gani ya watu, Haya yataisha siku Raia watakapo amka na sio hivi karibuni, ni vizaz vijavyo labda havijazaliwa
 
Tatizo kubwa la hii nchi ni tunaongozwa na akili ndogo badala ya akili kubwa!.
Kosa sio viongozi ni sisi Raia tumewekeza kwenye kulalamika, hawa walisha tusoma wakajua ni watu wa kulalamika tu. Malalamiko hayanna impact kwao. Shida ni watawaliwa wala sio watawala
 
Back
Top Bottom