Watu wa Dar mngetamani RC Mtaka ahamie DAR kiangazi au kipindi cha Masika?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.

Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.

Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.

Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
 
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni MtaKa ambaye kwa sasa yupo Niombe.

Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.

Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.

Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
🤣 🤣 🤣
 
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.

Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.

Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.

Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Kule Njombe amefanya nini. Ht hivyo Njombe ni km wilaya tu
 
Tunasubiri huyu wa Sasa amalize kero ya Malaya na changudoa. Amebakiza sehemu ndogo tu pale Mbezi mwisho, Buguruni Kimboka, Riverside, Uwanja wa fisi, mtaa wa Maandazi, Zhakheim Mbagala, Kinondoni makaburini na makao makuu Sinza.
Hili la umalaya ataliweza lakini katika mengine yote Chalamila alianza kuyashindwa hata kabla hajajitambulisha.
Sidhani Kama anajua kuwa Kuna usafiri unaitwa mwendokasi, nadhani anaona mapicha picha tu.
 
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.

Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.

Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.

Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Mtak tena aende Dar 😂😂😂. Hilo Jiji apewe Mkumba alikuwa RC Tanga na alitumbulliwa kwa Kuchongewa na Wapiga dili. Chalamilla ni Mzuri kwasababu siyo mnafiki ila Mbadala wake awe Mkumba au RC wa Morogoro wa Sasa Malima. Wanaotosha kwa Jiji la Dar kwa sasa
1. Chalamila
2. Malima
3. Mkumba @ Mzee wa Kazi
4. RC Dodoma ( Yule Rose)
Hizi Figure: Jiji litaendelea ku shine
Au Waturudishia Paul Christian Makonda
 
Huu mji hakuna anaeuweza kwasababu kila mwenye madaraka ana kauli yake.

Mkuu wa mkoa wa dar huwa ni kama kibaraka wa mabwenyenye na wenye wadhifa serikalini.

Chalamila ukatuni mwingi, huyu anapaswa atupwe kwenye mikoa iliyosinzia kama Tanga huko.
 
Back
Top Bottom