Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂
Kutana na hao Chadema sasa yaani hata...
Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya;
(a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea...
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya...
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa...
Uzi kutoka X, kina Lucas mwashambwa & company JF muisome na kujitambua
"Inawezekana ni jambo ambalo wengi hawajui kuwa linaendelea ndani ya CCM ,na sishangai kwa kuwa watanzania tuna tabia ya...
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo.
Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama.
Uhuru wa maoni, habari, haki...
Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma...
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA MTAMA MKOANI LINDI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 18 ameendelea na Ziara...
MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA"
"... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa...
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki...
Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha.
Akihutubia...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu...
18 September 2023
Rabat, Morocco
https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji...
Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya.
Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years +...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023...
Wadau, amani iwe kwenu.
Tanzania tumepata kiongozi mchapa kazi, Mpenzi wa Mungu, mwenye maamuzi, Mzalendo, msema kweli na mkali. Haya yamejidhihiri wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi...
Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.