Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,930
31,172
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.

Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.

Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.
 
Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri,magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
Madogo
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.

Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.

Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.
Acha uongo
 
Soon tu mkuu anakwea gari Jeusi anapishwa anasepa
Mkakati wa ACT Wazalendo ni kumtumia Bashiru kufungua maeneo ya kanda ya Ziwa hasa Kagera na Wilaya cha Chato anakubalika sana.
Bashiru amekuwa mpweke kwa kipindi kirefu kambi yake yenye wanaCCM wengi wamekichagua chama cha ACT kwasababu bado kinahitajika kujengwa Tanganyika baada ya kuwekeza Zanzibar kwa muda mrefu.
 
Mkakati wa ACT Wazalendo ni kumtumia Bashiru kufungua maeneo ya kanda ya Ziwa hasa Kagera na Wilaya cha Chato anakubalika sana.
Too late kwa ACT

Kosa ACT waifanya ni kuchukua mapaka Takataka kutoka CUF

ACT imepoteza Identify ukiitizama CUF ndio hiyo ACT

Hilo Kosa Chadema walilifanya 2015 kuchukua watu wasio na itikadi na mrengo wa kiimani na kuwapachika nafasi za Juu

Eg Lowassa ( Mgombea Urais), Nyalandu( Mwenyekiti Kanda ya Kati), Sumaye ( Kanda Ya Pwani

Act hawna jinsi Chama kitabaki dormant
 
Kama kweli basi ni wazi CCM imeamua kuitumia CCM B (ACT) ipaswavyo kwa sasa ili kudhoofisha CHADEMA.

Leo kuna mwingine kaandika Lissu anakwenda huko ACT pia. Itakuwa ni jaribio la CCM kutengeneza upinzani mbadala wa CHADEMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom