Rais Samia: Ajenda ya Ukombozi wa Wanawake Ipewe Kipaombele Kwenye Taasisi zote za Umma

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Rais Samia ameendelea kuibeba na kuipeperusha ajenda ya Ukombozi wa Wanawake.

Akizungumza kwenye sherehe za kiximkazi Day amezitaka taasisi zote za Umma kuhakikisha wanawake wapewa nafasi za maamuzi na kusikilizwa.
20240315_110727.jpg

My Take
Wanawake msipoungana na Rais Samia kujikomboa awamu hii ambayo Rais ni Mwanamke basi hamtakuja kupata fursa tena.

Mama Ruto anawapa ujumbe wenu hapa 👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1768548893044707743?t=Zx-pXC0koZ6OwB1pXq_qHw&s=19
 
Hivi issue ya Jinsia kwenye uongozi ina umuhimu gani?? mimi naona ni vyema watu washindanishwe kwa usawa atakayekuwa na sifa zaidi apewe nafasi, SIdhani kama Papuchi ama mjulubeng kama vina ubongo wa kufanya maamuzi.

Lakini pia tukubaliane hili suala la women empowerment ni la kipuuzi puuzi, kuna maeneo mwanamke ana perform vyema kuliko mwanaume kama vile kwenye hospitality industry, pia kuna maeneo mwanaume ana perform vyema kuliko mwanamke mfano kwenye Engineering industry, huku kulazimisha mwanamke aende kwenye kila field ni kutengeneza bomu huko mbeleni, mfano nchi za scandinavia walishajaribu ila hawakupata matokeo yoyote chanya.
 
Ujinga sasa imekuwa ni mtaji awamu hii.
"Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya Mamlaka ya Nchi.Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya Ibara hii neno KUBAGUA maana yake ni kutimiza haja,haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,kabila,pahala walipotokea,maoni yao ya kisiasa,rangi,dini,JINSIA,au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa dhaifu au duni na kuwekewa VIKWAZO au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa FURSA au FAIDA ILIYOKO NJE YA MASHARTI au sifa za lazima."(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 12(5).

Kwa maelezo hayo ya Katiba yetu mnaonywa kuendekeza mambo ya jinsia.
 
Ujinga upi huo? Isijekuwa wewe ndio mjinga
Achana na huyo nyumbu wa CHADEMA .kwani naamini hata ukimuuliza nini mke wa Ruto kazingumza hawezi kuelewa kitu wala kukueleza kitu maana mtaji wa Mbowe ni ujinga wa wafuasi wao kutojitambua.ndio maana Anaendelea kuwepo kwenye uwenyekiti miaka 20 akisema anatetea haki za watu halafu nyuma ya pazia yeye na familia yake wamewadhululu jasho lao wafanyakazi kumi . Sasa kama ameshindwa kuwatendea haki watu kumi ni vipi atawatetea na kuwatendea haki watanzania million 62?
 
""Nitaendelea kuheshimu,,kutukuza,,kujali,,,kutambua Kuziishi Nyakati Katika Maisha,,,Kuishi Kutokana na Mazingira yaliopo kwa Utashi niliojaaliwa na si Kwa Mazoea ya Utashi niliojaaliwa,,WakatiWao♀️labda tulipata nafasi wakati wa Nyakati zetu tukafanya yaliyokuwa Yetu,,au labda tutapata nafasi Nyakati zetu zikikitimia tufanye yaliyo kuwa Yetu♂️!!###HaiishiMpakaIishe###
 
Achana na huyo nyumbu wa CHADEMA .kwani naamini hata ukimuuliza nini mke wa Ruto kazingumza hawezi kuelewa kitu wala kukueleza kitu maana mtaji wa Mbowe ni ujinga wa wafuasi wao kutojitambua.ndio maana Anaendelea kuwepo kwenye uwenyekiti miaka 20 akisema anatetea haki za watu halafu nyuma ya pazia yeye na familia yake wamewadhululu jasho lao wafanyakazi kumi . Sasa kama ameshindwa kuwatendea haki watu kumi ni vipi atawatetea na kuwatendea haki watanzania million 62?
Tafuta mume uolewe
 
Rais Samia ameendelea kuibeba na kuipeperusha ajenda ya Ukombozi wa Wanawake.

Akizungumza kwenye sherehe za kiximkazi Day amezitaka taasisi zote za Umma kuhakikisha wanawake wapewa nafasi za maamuzi na kusikilizwa.
View attachment 2935122

My Take
Wanawake msipoungana na Rais Samia kujikomboa awamu hii ambayo Rais ni Mwanamke basi hamtakuja kupata fursa tena.

Mama Ruto anawapa ujumbe wenu hapa 👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1768548893044707743?t=Zx-pXC0koZ6OwB1pXq_qHw&s=19

Wanawake wapewe nafasi kwa kuzingatia vigezo vya uwezo na ufanisi wao binafsi lakini siyo kwa sababu ya UANAMKE wao. Vivyo hivyo kwa wanaume pia.
 
Back
Top Bottom