Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kuangalia namna bora ya kuja na ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili...
Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini...
Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari...
Amani iwe nanyi.
Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha...
Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimepata uoga mkubwa sana moyoni mwangu na hofu kubwa sana akilini mwangu na kutetemeka sana mwili wangu na kupatwa na ganzi katika mwili wangu. Hapa ni pale baada ya...
Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field. Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi...
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1...
Pamoja na Kwamba Mjeda Mkuu Mstaafu ametuacha Njia Panda lakini ni Wazi wale wote wanaotajwa kuutamani Urais baada ya Shujaa Magufuli kututoka hawatoshi
Ni Bora Katiba iliheshimiwa
Mungu wa...
Deusdetit Soka Mwenyekiti wa Bavicha Temeke amedai kuwa alipigwa sana alipokuwa mikononi mwa Polisi Bandari
Soka amesema hayo alipokuwa akihojiwa na Waandishi wa Habari.
Source: Jambo TV
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameeleza jinsi Viongozi Wanawake ni wachapakazi,wazalendo na waadilifu wanapopewa nafasi mbalimbali za kiuongozi katika...
Kama umefuatilia kifalsafa maelezo ya CDF Mstaafu General Mabeyo juu ya hadhi ya Amir Jeshi mkuu utagundua kimfumo Rais wa JMT na hata Zanzibar hawezi kutokea chama cha Upinzani.
Prof Tibaijuka...
Niwashukuru sana Watendaji wa Jamii Forums kwa kuitendea Haki Siku ya Kumbukizi la Shujaa Magufuli.
Siku ya jana nyuzi za Shujaa Magufuli zilikuwa nyingi kupitiliza lakini mlizivumilia hamkufuta...
Bashe namkubali kwenye jambo moja tu, anajua mno kucheza na akili za wajinga na anajua fika nchi ina wajinga wengi ambao kureason hawawezi kitu na hapo ndio anapo pitia. Zile project zake zenyewe...
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na...
Hii ni orodha fupi ya wenye ujasili wa kumkabili CCM. Kama hauko humo kuwa tayari kujiunga na CCM. Hao ni wenzako hujijui tu:
1. Wanaompinga Israel na udhwalimu wake Gaza.
2. Wanaowaunga mkono...
Mambo mbalimbali yameendelea baada ya Maandamano ikiwemo mgao wa Umeme kufikia kikomo na Sukari kupatikana bila matatizo.
Tulitegemea Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu atoke kuishukuru...
Watanzania tulio zaliwa vijijini tunajua shida ya maji iliyokuwa inapatikana katika vijiji vyetu.
Tumpe Maua yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kumtua ndoo mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.