Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa...
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya...
Kwa heshima na taadhima, ninapenda kuwajibu ndugu hawa (katika taaluma) kama ifuatavyo;
Nitapenda kuanza na aliyeanza; Manyerere Jackton:
Ndugu huyu amejenga hoja zake kadha wa kadha katika...
Mfanya biashara maarufu nchini Mustafa Sabodo leo hii ametoa Sh 100 milioni kwa Chadema kukipongeza chama hicho kwa ushindi wa Nassari huko Arumeru. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Sabodo na...
Uchaguzi halijawahi kuwa jambo dogo Kwa wanaoshindwa duniani kote ,hata aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliwahi kulalamika kuchezewa faulo iliyopelekea kushindwa na Joe Biden Rais wa Sasa...
Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji.
Moja ya Watu walioguswa na hii...
Kwa ufupi
Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma...
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na...
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.
Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.
Hivyo Asali imeshafika kwa...
Assimilation policy ni policy ilio sana tumiwa na Wareno na Wafaransa kwenye makoloni yao na wajuvi wa Historia wanasema ilifanikiwa sana.
Sasa Bongo kila uchaguzu ukikaribia ni lazima wanasiasa...
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa
Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo...
Nimekuwa nikiuliza mara kwa mara kwanini wananchi tunaishi kwa shida sana huku viongozi wakiishi maisha ya raha?
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana na Muumba wetu kwa kutupa raslimali karibu...
Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
https://www.matukiodaimamedia.co.tz/2024/03/dr-mpango-atishia-kujiuzulu-nafasi-ya.html
Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango...
Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali...
Wadau, amani iwe kwenu.
Mnamkumbuka Sabodo, yule kada wa CCM ambaye alikuwa anakilea CHADEMA kwa kukipa misaada kadhaa? Si mnamkumbuka? Kafanya mengi CHADEMA. Katoa fedha zaidi ya bilioni 2 kwa...
Wengi walimbeza mnajimu na mtabiri maarufu wa Africa Shehe Yahya
Yanayoendelea sasa nchini ni vile vile alivyotabiri Nyota ya Kike imetamalaki
Hata Chadema Nyota ya kike ndio inang'ara kuanzia...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na...
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.