Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Katiba na Sheria Dr Ndumbaro amewataka Watanzania kutumia vizuri mitandao ya Kijamii badala ya kutoa Kauli za Kejeli, Kumtukana na Uhaini Ndumbaro amesema kuna tofauti Kati ya kuikosoa...
1 Reactions
3 Replies
628 Views
Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
DK. NCHIMBI ASISITIZA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA NI MAISHA YA WATU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa...
0 Reactions
7 Replies
796 Views
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya. Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa...
8 Reactions
103 Replies
8K Views
Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) Eng. Mafundi anatolea ufafanuzi juu ya tuhuma zilizoletwa na Kiongozi Mkuu wa ATC Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa ndege 6 za ATCL ni mbovu na...
13 Reactions
69 Replies
7K Views
Wapinzani waliposema kuwa Mwendazake alinunua terrible teens walibezwa na kuitwa wapinga maendeleo ooh mawakala wa mabeberu leo hii mandege ya ATCL ni mabovu kila uchwao yapo matengenezo Huyu...
14 Reactions
80 Replies
5K Views
KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa...
1 Reactions
12 Replies
847 Views
Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC! Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani, Buriani Moses Mathew, Mchango wako Sekta ya Habari, Una Thamani Kubwa Kuliko Status ya Ajira Yako. Kwa wiki tatu mfulululizo, safu yangu imejikita kwenye Makala za...
8 Reactions
12 Replies
3K Views
HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchi hujengwa na Wananchi wenyewe. Hali ni tofauti kwa bara langu la Afrika ya watu weusi. Nimezunguka nchi yangu na kujionea kwa macho yangu maisha ya watanzania wengi. Kusema ukweli, kazi ya...
2 Reactions
5 Replies
467 Views
MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nawasikitikia sana wanaompatia maiki Mdude nyagali kuzungumza, ni aibu kwa unayemsikiliza ,ni fedheha kwa unayefuatilia anachokizungumza. Alikuwa anazungumza mpaka Dr Slaa...
22 Reactions
210 Replies
12K Views
Maafisa utumishi wa Tanzania wengi hawajua katiba wala sheria nje ya sheria za utumishi. Kwa hivi karibuni maswali mengi yamekuwa yakiibuka kuhusu uteuzi wa viongozi. Inaonekana wazi kwamba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo Sabodo...
13 Reactions
63 Replies
9K Views
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais...
72 Reactions
146 Replies
9K Views
Back
Top Bottom