Shehe Yahya alitabiri Nyota ya Kike itatawala kwa muda mrefu Baada ya Nyota ya kiume Kupotea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Wengi walimbeza mnajimu na mtabiri maarufu wa Africa Shehe Yahya

Yanayoendelea sasa nchini ni vile vile alivyotabiri Nyota ya Kike imetamalaki

Hata Chadema Nyota ya kike ndio inang'ara kuanzia Bungeni hadi Bawacha

CCM ndio kabisa akina mama Wamemshika mpini bado pale Judiciary tu 😄😄

Ramadan Kareem
 
Wawekwe wanawake wote wawe wakuu wa mihimili.
Pia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kama vipi wapewe wanawake.
Tena wasifanye 50/50 nawafanye kila jinsia wawe na awamu yao maana tumechoka makelele.
CDF ndio itaendelea Nyota Dume

Shehe Yahya katisha sana 😄😄
 
Wengi walimbeza mnajimu na mtabiri maarufu wa Africa Shehe Yahya

Yanayoendelea sasa nchini ni vile vile alivyotabiri Nyota ya Kike imetamalaki

Hata Chadema Nyota ya kike ndio inang'ara kuanzia Bungeni hadi Bawacha

CCM ndio kabisa akina mama Wamemshika mpini bado pale Judiciary tu 😄😄

Ramadan Kareem
Yahya sio mwenye kauli ya mwisho.
 
Wengi walimbeza mnajimu na mtabiri maarufu wa Africa Shehe Yahya

Yanayoendelea sasa nchini ni vile vile alivyotabiri Nyota ya Kike imetamalaki

Hata Chadema Nyota ya kike ndio inang'ara kuanzia Bungeni hadi Bawacha

CCM ndio kabisa akina mama Wamemshika mpini bado pale Judiciary tu

Ramadan Kareem
ndio njia pekee ya kuwezesha watoto wake kwenda chooni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom