Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.
Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.
Hivyo Asali imeshafika kwa...
Assimilation policy ni policy ilio sana tumiwa na Wareno na Wafaransa kwenye makoloni yao na wajuvi wa Historia wanasema ilifanikiwa sana.
Sasa Bongo kila uchaguzu ukikaribia ni lazima wanasiasa...
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa
Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo...
Nimekuwa nikiuliza mara kwa mara kwanini wananchi tunaishi kwa shida sana huku viongozi wakiishi maisha ya raha?
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana na Muumba wetu kwa kutupa raslimali karibu...
Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
https://www.matukiodaimamedia.co.tz/2024/03/dr-mpango-atishia-kujiuzulu-nafasi-ya.html
Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango...
Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali...
Wadau, amani iwe kwenu.
Mnamkumbuka Sabodo, yule kada wa CCM ambaye alikuwa anakilea CHADEMA kwa kukipa misaada kadhaa? Si mnamkumbuka? Kafanya mengi CHADEMA. Katoa fedha zaidi ya bilioni 2 kwa...
Wengi walimbeza mnajimu na mtabiri maarufu wa Africa Shehe Yahya
Yanayoendelea sasa nchini ni vile vile alivyotabiri Nyota ya Kike imetamalaki
Hata Chadema Nyota ya kike ndio inang'ara kuanzia...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na...
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata...
Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa...
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya...
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania...
Ndugu yetu, Daktari wa Filosofia uliyetumainiwa na wenazako hata ukasimamia Chama cha Magwiji wasomi UDSM (UDASA), yaani ndani ya viatu vya kina Prof Chachage, Leo hii bila hiana, unakacha...
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate...
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.
CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.
Viongozi na...
Siasa ni mfumo wa kushiriki na kuwakilisha fikra na mawazo huru kutokana itikadi tofauti za kiimani katika kuwakilisha hoja tofauti za kutafuta maendeleo kwa ustawi na maisha bora kwa wa jamii...
Rais Magufuli amesema "Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo. Wengi wanataka uitwe Mkapa Stadium. Alikuwa hapendi vitu viitwe kwa jina lake, lakini hawezi kuniadhibu amelala. Natamka rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.