Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Apr 5, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mfanya biashara maarufu nchini Mustafa Sabodo leo hii ametoa Sh 100 milioni kwa Chadema kukipongeza chama hicho kwa ushindi wa Nassari huko Arumeru. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Sabodo na kumkabidhi katibu Mkuu wa CDM, Dr W. Slaa.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wamepima upepo wamejua ccm hoi na chadema itachukuwa nchi siku si nyingi na bahati mbaya wanajua hatuwapendi,kazi kwao1!
   
 3. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mzee Sabodo Unatisha kwa kumwagaga mapesa iaseee!! hii ndo inatuongezea chachu ya ushindi na bifu kwa ccm. Mungu ambarike saanaa huyu mzee
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana sabodo,M4C ianze mapema kulichukua tena jimbo la Atown chini ya Komandoo Lema!
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  kweli aisee. kumbe ndo maana Nasari leo alikuwa mjini.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ila uyu dingi namzimikia kinoma mola ampe uzima 2015 anaweza kuwa one of CDM donor!
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na wale wanaotoa 10,000 watangazwe sawa sawa kama huyu!
  Kutoa moyo si utajiri!
   
 8. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ni kweli? if so safi sana
   
 9. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  viva sabodo
   
 10. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa hilo.Namfahamu mzee huyo.Kuna wakati nilimwendea Sabodo kutaka msaada wa masomo nje ya nchi lakini nilijibiwa anasaidia vikundi na sio mtu mmoja mmoja.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nasikia CCM wanampango wa kumpokonya kadi ya uanachama kwa style ya kumdhalilisha ili kama kuna mwana CCM mwingine ajifunze asifanye kama sabodo
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Very true. Japo tunathamini sana michango ya mzee sabodo ila nadhani ungekuwepo utaratibu wa kuwatambua wote wanaokichangia chama. ALAF HUYU ALIYELETA HUU UZI ATUPE SOURCE YA HII HABARI PLS
   
 13. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Sabodo is one of the critical thinker katika nchi hii. Anajua kabisa serikali bila kuwa na vyama imara vya upinzani itaishia kuwa legelege..ndio maana anawekeza kwa wapinzani wa kweli, na sio (TL.., CU..., etc). Ili kuhakikisha serikali hailali usingizi wakati watu wanapora resilimali. I like Sabodo and his idea.
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wengine hawataki kutangazwa, bado ni viongozi wa CCM.
   
 15. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Changia demokrasia changia maisha ya watz.

  Viva sabodo hakunagaaaaaaaaaaaa.
   
 16. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  viva Sabodooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 17. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Pendekeza huo utaratibu wa kuwatambua wachangiaji usisubiri kukosoa.

  For good order's sake; thread hii haijaletwa na Chadema
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  M4C, CCM inawauma lakini no way out watu wanahitaji Mabadiliko
   
 19. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Dah, boflo hilo avatar la Zidane na materazzi linanikumbusha Tukuyu mwaka 2006, ilikuwa bonge la ndoo.
   
 20. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu Sabodo ni kati ya wahindi wachache wenye uzalendo sana na nchi hii toka enzi za Mwl Nyerere!pia huyu mzee biashara zake hazina magumashi na hana skendo hata moja ndio maana c.c.m wanashndwa kumgusa!pia jua kua C.d.m hawana sera ya kumbagua mtu kwa rangi,dini,jinsia wala kabila lake!hayo mambo hayapo kwa dunia ya leo
   
Loading...