BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya...
Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa...
Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake...
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye...
Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa.
Vigogo wa Chadema ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Naomba nitumie jukwaa hili kwa siku ya leo kuwapa ukweli CHADEMA japo ni ukweli mchungu unaouma lakini ndio ukweli wenyewe na hauwezi kubadilika wala kubadilishwa. Napenda...
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi...
Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo...
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.
Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri...
Watanganyika safari hii wamenasa
Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......)
Walianza na ngorongoro
Wakaja na bandari
Wakaja kwenye mabasi ya...
Hakika nichukue nafasi kuipongeza CCM, tume yake ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi kwa kusimamia kwa umakini mkubwa uchaguzi mdogo na kupelekea CCM kupata ushindi wa kishindo ukiwa ni ishara ya...
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao...
Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi?
Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa...
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie...
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya...
Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya...
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka...
Uwekezaji wa Rais Samia kwenye Elimu unalenga matokeo ya mda mrefu na kwa faida ya kizazi Kijacho.Hayo yameelezwa na Prof.Mkenda wakati Akitoa muhtasari wa mafanikio ya Miaka 3 ya Rais Samia...
Najikumbusha Tu viwango vya Wagombea wa Upinzani miaka ile ya Mwanzo kabisa ya Upinzani na sasa
Kwa kifupi Dr Lamwai wa NCCR mageuzi alishinda kile Kiti
Leo CCM inazoa viti vyote 23 kiulaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.