Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,853
18,269
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
 
Attachments

  • waislamu wabaguza.wav
    30.9 MB
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. 😀😀😀😀😀
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomesha watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Bila kumtaja Tundu Lissu naona siku nzima unajiharishia.
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Dar ,pwani ,Tanga na maeneo yenye idadi kubwa ya waisram imejaa wazee wenye mabusha kisa walikataa chanjo eti wakristo (wazungu ) wameleta dawa ya kuwazuia kuzaa .hawa wavaa kobazi vichwa maji Sana

USSR
 
UHAKIKI.

Kufaulu:
Mwandishi anasisitiza umoja, na kupinga ubaguzi na kulitaka taifa lidumu katika umoja, kwa kutumia mifano halisi.

Kutokufaulu:
Mwandishi hajatoa suluhisho kuhusu mchele, je ukataliwe au ukubaliwe au nini kifanyike.

Walimu wa kiswahili mnisamehe kama kuna makosa ni mda mrefu toka nilisoma hayo.
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
tatizo lako shule,usifie hilo bwawa na bado hakuna nafuu yotote mpk sasa kwanza ya gharama kushuka na bado kukatika kwa umeme,tatizo la nchi yetu ni ccm note that
 
Waislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha wakale na familia zao.

Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani, zipo nchi nyingi ambazo hazikubaliani na marekani na siyo nchi za kiislam.
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Nendeni mpwapwa huko na sehemu zingine dom mkawasaidie watoto wenye utapiamulo

Ova
 
Waislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha.

Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani
Kwani sahvi hamna masboga
Media zenu zenyewe, imejaa wsng kibao

Mitaani huko sehemu za starehe ndy msiseme...pita sinza huko uone walivyojaa wsng alafu mnajifanya mnapinga ushg

Ova
 
Back
Top Bottom