Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
891
4,154
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.

Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.

Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
 
Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza...
Kila anayeuguliwa...
Kila aliyepata madhila ya kifamilia...
Akafanye huo uhuni?
Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini.
Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi?
Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi?
Unaelewa posho za vikao anazopata ni Shingapi?
Hebu acha upumbav wako kutetea ujinga.
Labda wewe ni mke wake ndo maana unamtetea.
 
Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza......
Kila anayeuguliwa........
Kila aliyepata madhila ya kifamilia......

Akafanye huo uhuni????

Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini.

Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi????

Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi?????

Unaelewa posho za vikao anazopata ni Shingapi?????

Ma DAS hawana maokoto mengi kiasi cha laki mbili kua tone katika maokoto yao, sidhani kama hata wanafika m5 kwa mwezi
 
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.

Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.

Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Yawezekama hiv yawezekana vile its all bullshit. ni utov wa nidham kwa alichokifanya ashughulikiwe
 
Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza......
Kila anayeuguliwa........
Kila aliyepata madhila ya kifamilia......

Akafanye huo uhuni????

Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini.

Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi????

Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi?????

Unaelewa posho za vikao anazopata ni Shingapi?????

Hebu acha upumbav wako kutetea ujinga.

Labda wewe ni mke wake ndo maana unamtetea.
Acha uzwaza mwizi ni mwizi tu hata umpe mshahara wa million mia moja, hii ni tabia ya mtu
 
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.

Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.

Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Mkuu usihukumu bila kuwa na taarifa sahihi na uthibitisho usione na shaka kwa unaye hukumu, hutatenda haki!

Jiepushe na mkumbo, you are a great thinker, hiyo njia haikufai!
 
Uliza uambiwe DAS hakosi laki mbili kwa siku kwenye michakato ya kawaida ofisini
Kumbe maDAS wanayo maokoto,michakato ya kawaida hakosi laki mbili,ukijumlisha na mshahara labda mil.5,uje posho za vikao,aisee... serikalini hela ipo.
 
Jacob Rombo akisherehekea na wahitimu wenzake baada ya kulamba Masters of Business
a34adf9c-e1a1-4d38-8ffb-cae62a14fb91.jpeg

Lakini pia ana PhD ya Enterprise Management.
Jacob Rombo ni kiongozi poa sana.
 
DAS kwa kawaida wanaishi maisha magumu sana. OC ya kila mwezi kwa Mkuu wa wilaya ni kama 10m. Hiyo OC ndiyo kila kitu katika ofisi hiyo mfano Mafuta, matengenezo ya magari, stationery, posho ya DC n.k. it is a peanut. Asilimia kubwa anategemea mshahara wake tu. Safari ya DAS ni ya nadra sana Aende wapi. Bosi wa Wilaya kwa fedha ni Mkurugenzi.
 
Kumbe maDAS wanayo maokoto,michakato ya kawaida hakosi laki mbili,ukijumlisha na mshahara labda mil.5,uje posho za vikao,aisee... serikalini hela ipo.
Accounting officer wa wilaya anakosa vipi laki mbili kwa siku ,jambo hili haliwezekani
 
Back
Top Bottom