Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo...
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.
Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri...
Watanganyika safari hii wamenasa
Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......)
Walianza na ngorongoro
Wakaja na bandari
Wakaja kwenye mabasi ya...
Hakika nichukue nafasi kuipongeza CCM, tume yake ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi kwa kusimamia kwa umakini mkubwa uchaguzi mdogo na kupelekea CCM kupata ushindi wa kishindo ukiwa ni ishara ya...
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao...
Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi?
Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa...
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie...
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya...
Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya...
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka...
Uwekezaji wa Rais Samia kwenye Elimu unalenga matokeo ya mda mrefu na kwa faida ya kizazi Kijacho.Hayo yameelezwa na Prof.Mkenda wakati Akitoa muhtasari wa mafanikio ya Miaka 3 ya Rais Samia...
Najikumbusha Tu viwango vya Wagombea wa Upinzani miaka ile ya Mwanzo kabisa ya Upinzani na sasa
Kwa kifupi Dr Lamwai wa NCCR mageuzi alishinda kile Kiti
Leo CCM inazoa viti vyote 23 kiulaini...
Salaam, Shalom!!
DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,
Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,
Swali...
Nashangaa tena nashangaa sana wanasiasa wenzangu ambao mpaka sasa ni wabunge wa majimbo mbalimbali bado wanafanya siasa za miaka ya 90's huko wakati tupo kwenye ulimwengu wa wapiga kura waelewa na...
Atoa agizo la upatikanaji wa huduma ya maji ifikapo Juni, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea na kukagua mradi wa maji Same - Mwanga -...
Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao...
Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya...
Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko .
Wanaccm wote wa Tanganyika na Zanzibar mara zote wamejiapiza kuhakikisha Maalim Seif Sharrif Hamad hapati uongozi wa Juu wa Zanzibar , iwe kwa halali...
Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena
Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.