Ndugu zangu mimi nimekaa Leo najitafakari.
Nimetafakari sana mpaka kichwa kikataka kupasuka.
Nilikua najiuliza maswali shirika letu la mafuta (TANOIL) limepataje hasara.
Mbona wengine wana...
Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na...
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,
Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini.
Kwasasa Tanzania...
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO.
Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya...
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera)
Kituo kitakachofuata ni...
Wakuu,
Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56.
Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki...
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulituonesha ni jinsi gani inawezekana.
Kwa miaka zaidi ya 60 sasa, viongozi wa CCM wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia mali na kutoa familia zao. Kama kungekuwa na...
Utitiri wa nyumba za ibada katika makazi zinasababisha makelele na pia hutumika kuwezesha utakasishaji fedha na ugaidi..
Pia waziri Hamad Masauni asema taasisi na jumuiya ya kidini baadhi yao...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amemuagiza Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyamikoma, Kata ya Kabita Wilayani humo kuwaita Waganga wa tiba asilia Kijijini hapo ili kuwaomba Wawachunge...
Salaam Wakuu,
Baada ya Waziri wa TAMISEMI kuagiza DART itafute mwekezaji binafsi wa kuendesha Mabasi ya Mwendokasi, sasa mambo yamekuwa moto.
Hadi sasa Makampuni 30 yameomba kuendesha Mabasi...
Wakuu kwema?
Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona...
Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati...
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.
Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.
Magufuli alikuwa...
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema hivi, nanukuu "CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAA" mwisho wa kunukuu.
Kauli hii ya Nyerere ilimaanisha kwamba ili chama cha siasa kiwe imara...
Hii nchi ina vituko sana, kinacho itwa vita dhidi ya Ufisadi ni hadaaa kubwa sana, Raisi mwenyewe anajua fika kilicho nyuma ya Pazia.
Kuna mtu wangu mmoja hivi ambaye ni Dereva wa mmoja wa Mabosi...
Nangoja Upigaji wa Report ya Mwakani nione Raisi ataongea nini wakati anakabidhiwa report make walio husika na Ufisadi mwaka huu kawasamehe mara baada ya kuombwa na Wakina Kikwetwe, Tulia akson na...
Mtakumbuka report ya CAG mwaka huu, ilitolewa wakati wa mfungo na Mama alikasirka sana akawatukana mafisadi Stupidy, hio ndio adhabu kubwa kabisa alio wapatia walio piga pesa za wajinga wa nchu...
Niliwahi Post humu kwamba kuna kitengo ndani ya CCM sio kitengo rasimi ila kipo na kina dili na kuombea viongozi misamaha.
Ni kitengo cha zamani sana sema kilipotea enzi za Magufuri na kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.