Waziri Mchengerwa aipiga stop Kampuni ya Nyanza Road Works LTD isipewe kazi tena Serikalini

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,546
2,176

Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,

Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini.

Kwasasa Tanzania inahitaji Viongozi aina ya huyu kijana ambaye ni jasiri na shupavu asiyependa sifa,kujisifia Wala kumwonea mtu, mkweli na mnyenyekevu kwa watu wote.

Mchengerwa anafanya maamuzi kama kiongozi bila kujali nini kitatokea nani atachukia au huyu nae ni mteule wa Rais ila tu kulinda Tanzania,Watanzania na rasilimali zao.

Tanzania tumekuwa na Viongozi wengi wasiopenda lawama wala kulaumiwa wenye kupenda kusifiwa na kufurahiwa na kila mtu hata kama ni mkosaji.

Tanzania ya leo inahitaji vijana jeuri na shupavu aina ya Waziri Mohammed Mchengerwa(MOM)

Kwamsiofahamu hii kampuni ya Nyanza Road Works Limited ni mfupa uliowashinda mawaziri wengi kwani inakazi sizizoisha karibu katika kila kona ila ilikuwa nani amfunge paka Kengele?

Kazi inaendelea Vizuri, Mchengerwa chapa Kazi Taifa linakufuatilia kwa ukaribu sana ongeza gia twende mbele.

===
 
M

View: https://youtu.be/Xbe3s_pZyYc?si=VA1jgMrWCChQPrwW
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,

Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Mchengerwa inaleta matumaini mpya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi.

Kwasasa Tanzania inahitaji Viongozi aina ya huyu kijana ambaye ni jasiri na shupavu sana asiyependa sifa Wala kumwonea mtu, mkweli na mnyenyekevu kwa waliomchagua.

Mchengerwa anafanya maamuzi kama kiongozi bila kujali nini kitatokea nani atachukia ila tu kulinda Tanzania,Watanzania na rasilimali zake.

Tumekuwa na Viongozi wengi wasiopenda lawama wenye kupenda kusifiwa na kufurahiwa na kila mtu.

Tanzania inahitaji vijana jeuri na shupavu kama Waziri Mchengerwa,

Hii kampuni ya Nyanza ni mfupa uliowashinda wengi na inakazi sizizoisha karibu katika kila mkoa ila nani amfunge paka Kengele?

Kazi inaendelea Vizuri, Mchengerwa chapa Kazi Taifa linakufuatilia.

===

Mbona hakuna ulichoongea Sasa. Hizi elimu hizi za hapa na pale ni shida. Sijui unakimbizwa na nani. Halafu mnafikiri maamuzi ya kukurupuka kwamba uongozi. Angalia jpm alivyokuwa anatusababishia hasara kila sehemu kwa maamuzi yake ya kijinga. Ndege zinakamatwa kila kukicha na meli Ile ya samaki tumelopa billions of money. Utawala wa Sheria ni mahakama ndo inajua kosa la mtu siyo rais Wala waziri
 
"Mnyonge msimnyonge na haki yake mumpe".Mimi ingawa sio fan wa huyu Mchengerwa ,sijaona ubaya wowote aliousema baada ya kusikiliza hii clip.Kampuni ya Nyanza kama wamepewa kazi ya kufanya na mpaka sasa hawajaanza sioni sababu ya kupewa kazi nyingine wakati kazi ya awali hata hawajaianza.
 
View: https://youtu.be/Xbe3s_pZyYc?si=VA1jgMrWCChQPrwW
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,

Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Mchengerwa inaleta matumaini mpya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi.

Kwasasa Tanzania inahitaji Viongozi aina ya huyu kijana ambaye ni jasiri na shupavu sana asiyependa sifa Wala kumwonea mtu, mkweli na mnyenyekevu kwa waliomchagua.

Mchengerwa anafanya maamuzi kama kiongozi bila kujali nini kitatokea nani atachukia ila tu kulinda Tanzania,Watanzania na rasilimali zake.

Tumekuwa na Viongozi wengi wasiopenda lawama wenye kupenda kusifiwa na kufurahiwa na kila mtu.

Tanzania inahitaji vijana jeuri na shupavu kama Waziri Mchengerwa,

Hii kampuni ya Nyanza ni mfupa uliowashinda wengi na inakazi sizizoisha karibu katika kila mkoa ila nani amfunge paka Kengele?

Kazi inaendelea Vizuri, Mchengerwa chapa Kazi Taifa linakufuatilia.

===

Hii ni kampuni ya jpm ujue
 
M
Mbona hakuna ulichoongea Sasa. Hizi elimu hizi za hapa na pale ni shida. Sijui unakimbizwa na nani. Halafu mnafikiri maamuzi ya kukurupuka kwamba uongozi. Angalia jpm alivyokuwa anatusababishia hasara kila sehemu kwa maamuzi yake ya kijinga. Ndege zinakamatwa kila kukicha na meli Ile ya samaki tumelopa billions of money. Utawala wa Sheria ni mahakama ndo inajua kosa la mtu siyo rais Wala waziri
Nadhani tumuandae huyu kijana atatufaa sana kesho,Msikilize Vizuri tena
 
U
Nadhani tumuandae huyu kijana atatufaa sana kesho,Msikilize Vizuri tena
Utawala wa sheria hauko hivyo atatutia hasara. Unajua Tanzania tunalipa mabilion ya pesa kiasi gani kisa maamuzi kama haya? Hata Lisu kisha waonya maamuzi haya ya kukurupuka kwanza hatuna knowlegeables wakianda mahakamani. Tumeanza jinsi prof alivyotoka jasho mahakama ya usuruhishi mpaka akataka kuzimia
 
Back
Top Bottom