Demokrasia ndani ya vyama pinzani

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO.

Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya utumishi ndani ya chama cha ACT.

Hii ni habari chungu sana kwa Mbowe, kiongozi aliyekiongoza chama tangu mwaka 2005 mpaka leo na bado anaamini ndani ya chama chake hakuna mrithi bora wa kukikalia kiti alichokikalia kwa miaka kumi na tisa (19).

Yaani Lissu mnayetaka tumpe nchi chama tuu chenye watu million moja hakimuamini ila mnataka tumpe nchi yenye watu milioni 60.

Kwa Mbowe chama ni cha muhimu zaidi ya nchi. Anyway hayo ni mawazo yake na ya heshimiwe.

Uenyekiti wa Chadema umesababisha maafa, kufukuzana na kukibomoa chama. Yaani Kaborou hakufaa, Wangwe hakufaa na Zitto hakufaa baada ya hapo hakuna nwanachadema hata mmoja anayetamani kukitaka kiti. Maana usipokufa ponapona yako ni kufukuzwa.

ACT iliyoanzishwa rasmi mwaka 2014 na Zitto kuwa KC wa kwanza mwaka 2015 leo kinashuhudia mabadiliko makubwa kipindi ambacho chama kinaanza kukuwa, kupokea ruzuku na kuenea kila kona ya nchi. Ila Mbowe aliyekula ruzuku za chama tangu uanzishwaji wake anaona dhambi kuachia akili mpya.

Sawa tukubaliane na hoja ya Chadema kwamba Zitto kaachia usukani huku mlango wa nyuma akiendelea kuwa Kc, vipi Mbowe anashindwaje kufanya hivyo kwa kuwaachia vijana wake anaowaamini kina Lema?

Zitto aliondoka Chadema baada ya figisu za uenyekiti, hakuamini katika udikteta wa Mbowe kung'ang'ania kiti, alitamani kumfundisha kwa vitendo na leo kamfundisha kwelikweli. Sidhani kama Mbowe bado ni mkosa aibu kuendelea kushikilia usukani wa Chadema.

Zitto ameachia uongozi mkuu wa chama akiwa bado kijana shupavu, mjenga hoja na mwenye ushawishi tofauti na Mbowe anayeng'ang'ania ilihali hana tena ushawishi, ujenzi wa hoja sifuri na ule ushupavu wake ulishajiishia.

Watanzania wameshindwa kuuamini upinzani kwa miaka mingi sababu ya viongozi aina ya Mbowe wanaotuhubiria demokrasia huku wao wakitenda udikteta, wanaohubiri ubadhirifu ndani ya serikali huku wao wakijilia ruzuku ambayo nayo ni kodi anayotozwa mtanzania.

Zitto ndani ya miaka kumi ya uongozi wake kajenga ofisi kubwa, nzuri na iliyo organised wakati Mbowe ndani ya miaka 19 ya uongozi wake hata choo cha Chadema hakipo.

Zitto ndani ya miaka kumi ya uongozi wake kafanikiwa kuiteka Zanzibar wakati Mbowe kwa miaka 19 hata diwani Zanzibar hana achilia mbali mbunge.

Tujiulize kwa pamoja, 2015 Mbowe angekubali kumuachia Zitto uenyekiti Chadema ingekuwa wapi?

2015 Mbowe angeamua kumuachia Zitto uenyekiti upinzani kwa ujumla ungekuaje?

Asante sana Zitto kwa kuubadilisha upinzani kwa vitendo, Asante sana Zitto kwa kumfunda Mbowe kwa vitendo. Mpira tunamiachia Mbowe aonyeshe kaelewa somo au ataendeleza uhuni wake wa kulinda Mali ya ukoo.
 
Ngoja niusome naona umeuchapa waamke nao asubuhi tukiwa kwenye daladala 😃
 
Kila binadam ana maslahi yake (interests).

Mwemgine anasema nikiwa rais "watanikoma", mwengine anasema nikiwa rais (watachekelea) Mwengine anasema nikiwa rais "nawajaza mapesa", mwengine anasema nikiwa rais "nawajaza ubwabwa".

Alimradi kila mmoja na lake.
 
ZITTO NA MBOWE NI WATU WAWILI TOFAUTI ZITTO NI MSALITI WA UPINZANI MBOWE NI MWANA UPINZANI KUTOKA MOYONI HIVYO MSALITI HANA UWEZO WA KUMFUNDA MWANA UPINZANI HALISI
ILA MBOWE NDIO ANAWEZA KUMFUNDA ZIITO AACHE USALITI
 
Na human nature ni selfishness yaani mtu yoyote akipata wadhifa ataanza kula yeye, familia yake ndugu zake then watu wake wakaribu!! Watu wa karibu nao wataweka watu wao wa karibu, hadi mtu baki upate izo fursa ama kitu kutoka kwao ni muda sana utapita ama kutopata kabisa!!
 
Crap from low mind.

Kama unafiki ni sifa ya kuigwa, usiishie tu kuiga nenda kabisa kwa Zito, umwombe akufundishe na kukufunda, unaweza kumfikia.
 
Umesahau kwamba mbali na Kabourou,Wangwe,Zitto kuna pia Profesa Safari!

Kwa Mbowe pale Chadema ni Sawa na "Duka" wamachame na "Pesa" ni Chanda Na Pete!
 
Zito mnafiki
Zito ahaminiki
Zito kibaraka
Zito ana ndimi mbili
Zito ni mbinafsi
Hoja ya kuwa anafundisha kwa vitendo nataka kigoma town asigombee amwachie mwingine
Mwisho ni vibaraka wa zito hatutakubali mtufundishe nani atuongoze kwenye mapqmbano
 
Umesahau kwamba mbali na Kabourou,Wangwe,Zitto kuna pia Profesa Safari!

Kwa Mbowe pale Chadema ni Sawa na "Duka" wamachame na "Pesa" ni Chanda Na Pete!
Ukimtoa safari ambaye alostaafu siasa kaburu alisaliti harakati mwenyewe mpaka akakimbolia ccm chama Cha machawa
 
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO.

Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya utumishi ndani ya chama cha ACT.

Hii ni habari chungu sana kwa Mbowe, kiongozi aliyekiongoza chama tangu mwaka 2005 mpaka leo na bado anaamini ndani ya chama chake hakuna mrithi bora wa kukikalia kiti alichokikalia kwa miaka kumi na tisa (19).

Yaani Lissu mnayetaka tumpe nchi chama tuu chenye watu million moja hakimuamini ila mnataka tumpe nchi yenye watu milioni 60.

Kwa Mbowe chama ni cha muhimu zaidi ya nchi. Anyway hayo ni mawazo yake na ya heshimiwe.

Uenyekiti wa Chadema umesababisha maafa, kufukuzana na kukibomoa chama. Yaani Kaborou hakufaa, Wangwe hakufaa na Zitto hakufaa baada ya hapo hakuna nwanachadema hata mmoja anayetamani kukitaka kiti. Maana usipokufa ponapona yako ni kufukuzwa.

ACT iliyoanzishwa rasmi mwaka 2014 na Zitto kuwa KC wa kwanza mwaka 2015 leo kinashuhudia mabadiliko makubwa kipindi ambacho chama kinaanza kukuwa, kupokea ruzuku na kuenea kila kona ya nchi. Ila Mbowe aliyekula ruzuku za chama tangu uanzishwaji wake anaona dhambi kuachia akili mpya.

Sawa tukubaliane na hoja ya Chadema kwamba Zitto kaachia usukani huku mlango wa nyuma akiendelea kuwa Kc, vipi Mbowe anashindwaje kufanya hivyo kwa kuwaachia vijana wake anaowaamini kina Lema?

Zitto aliondoka Chadema baada ya figisu za uenyekiti, hakuamini katika udikteta wa Mbowe kung'ang'ania kiti, alitamani kumfundisha kwa vitendo na leo kamfundisha kwelikweli. Sidhani kama Mbowe bado ni mkosa aibu kuendelea kushikilia usukani wa Chadema.

Zitto ameachia uongozi mkuu wa chama akiwa bado kijana shupavu, mjenga hoja na mwenye ushawishi tofauti na Mbowe anayeng'ang'ania ilihali hana tena ushawishi, ujenzi wa hoja sifuri na ule ushupavu wake ulishajiishia.

Watanzania wameshindwa kuuamini upinzani kwa miaka mingi sababu ya viongozi aina ya Mbowe wanaotuhubiria demokrasia huku wao wakitenda udikteta, wanaohubiri ubadhirifu ndani ya serikali huku wao wakijilia ruzuku ambayo nayo ni kodi anayotozwa mtanzania.

Zitto ndani ya miaka kumi ya uongozi wake kajenga ofisi kubwa, nzuri na iliyo organised wakati Mbowe ndani ya miaka 19 ya uongozi wake hata choo cha Chadema hakipo.

Zitto ndani ya miaka kumi ya uongozi wake kafanikiwa kuiteka Zanzibar wakati Mbowe kwa miaka 19 hata diwani Zanzibar hana achilia mbali mbunge.

Tujiulize kwa pamoja, 2015 Mbowe angekubali kumuachia Zitto uenyekiti Chadema ingekuwa wapi?

2015 Mbowe angeamua kumuachia Zitto uenyekiti upinzani kwa ujumla ungekuaje?

Asante sana Zitto kwa kuubadilisha upinzani kwa vitendo, Asante sana Zitto kwa kumfunda Mbowe kwa vitendo. Mpira tunamiachia Mbowe aonyeshe kaelewa somo au ataendeleza uhuni wake wa kulinda Mali ya ukoo.
Siasa za Zanzibar ni tofauti na za huku Mshukuru cuf kufa huko lakini jua kibomoka kwa cuf kumeridisha hatumia mia za chama pinzani kushika hatamu
 
Zitto Kabwe ni msaliti. Zitto ndiye alikuwa anaandaliwa kumrithi Mbowe ndipo TISS wakam recruit ili akijaachiwa uenyekiti iwe rahisi kuibomoa Chadema. Bahati nzuri ni kuwa intelejensia ya Chadema kipindi kile ilikuwa vizuri nao walikuwa na watu wao huko ndani ndiyo wakavujisha mpango mzima. Chadema walikusanya ushahidi wa kutosha juu ya usaliti wa Zitto ndiyo wakamfukuza. Sasa msalti huyo anawezaje kumfundisha kazi Master wake. Haya mambo yalishapita na aliachwa afanye siasa zake kwa staili yake ila kwa vile mnayachokoza inabidi tuyarudie kuyasema.
 
never outshine your master
 
ACT Wazalendo aliuziwa Maalimu Seif kwahiyo ni Mali ya Maalimu Seif Foundation
 
ZITTO NA MBOWE NI WATU WAWILI TOFAUTI ZITTO NI MSALITI WA UPINZANI MBOWE NI MWANA UPINZANI KUTOKA MOYONI HIVYO MSALITI HANA UWEZO WA KUMFUNDA MWANA UPINZANI HALISI
ILA MBOWE NDIO ANAWEZA KUMFUNDA ZIITO AACHE USALITI
Usaliti wa Zitto ni upi na Uwana upinzani wa Mbowe ni upi?
Nadhani Zitto ni Sunday jema la upinzani kuliko Mbowe, Mbowe ni Sunday jema la Ccm kuliko Zitto
 
Zitto Kabwe ni msaliti. Zitto ndiye alikuwa anaandaliwa kumrithi Mbowe ndipo TISS wakam recruit ili akijaachiwa uenyekiti iwe rahisi kuibomoa Chadema. Bahati nzuri ni kuwa intelejensia ya Chadema kipindi kile ilikuwa vizuri nao walikuwa na watu wao huko ndani ndiyo wakavujisha mpango mzima. Chadema walikusanya ushahidi wa kutosha juu ya usaliti wa Zitto ndiyo wakamfukuza. Sasa msalti huyo anawezaje kumfundisha kazi Master wake. Haya mambo yalishapita na aliachwa afanye siasa zake kwa staili yake ila kwa vile mnayachokoza inabidi tuyarudie kuyasema.
Kwahio baada ya Zitto alikosekana mwingine wa kuandaliwa?
 
HIVI MBOWE KWANI TANGU HIYO 2005 HADI LEO KWANI HAKUCHAGULIWA KIDEMOKRASIA?
Hebu tusaidie mfano uchaguzi w mwisho aligombea n nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom