Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,237
- 4,041
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulituonesha ni jinsi gani inawezekana.
Kwa miaka zaidi ya 60 sasa, viongozi wa CCM wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia mali na kutoa familia zao. Kama kungekuwa na chombo huru chenye uwezo wa kuchunguza viongozi wote wastaafu na wa sasa fedha zao, jumla ya fedha hizo zinaweza kuwa ni bajeti ya Tanzania kwa miaka 50 ijayo. Sad but true !
Above all , kwa sasa nikiulizwa, Je niupinzani gani unadhan unafaa kupewa jukumu la Urais; na kulinda mali za Umma ?
jibu langu litakuwa ni moja tu: kwa sasa Tanzania hakuna chama wala upinzani wenye TIJA.
Wapinzani wengi ni bahasha za kaki, baadhi ya vyama vipo kifamilia zaidi, baadhi ya vyama havina smooth transition ya uenyekiti, ni kama urithi fulani, and this makes CCM stand tall
Siku Tanzania ikipata vyama vya upinzani vyenye nia ya dhati na vilivyo serious , ndio siku naamini Tanzania itaanza kupata maendeleo. Na ndio itakuwa ni mwisho wa CCM.
Ila ninaamini ipo siku Tanzania itapata Upinzani wa maana, na watachukua nchi asubuhi na mapema.
JF ni mtunza mzuri wa records, huwa vya chini hujaa juu na vya juu huenda chini. Muda ni Hakimu mzuri.