CHADEMA yaendelea kupata Wenyeviti Wapya katika Mikoa mbalimbali, baadaye watachagua Mwenyekiti wa Taifa Baraza kuu litakapoketi

Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche ( Mara) na Gratian Matovu ( Kagera)

Kituo kitakachofuata ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka
Huyu "Chacha Heche" ni yule Heche x-mbunge au ni family member wake??
 
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche ( Mara) na Gratian Matovu ( Kagera)

Kituo kitakachofuata ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka 😄
Chedema bana
 
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera)

Kituo kitakachofuata ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka
UunjUhihihikkuk
 
Back
Top Bottom