figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Wakuu,
Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56.
Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi? Tuache kung'ang'ania mambo tusiyo yaweza. Haya mambo tuwaachie Kenya. Kenya Airways imedai kupata faida ya shilingi bilioni 10.5 za Kenya hadi mwishoni mwa mwaka jana.
ATCL tangu Hayati Magufuli aifufue ni hasara tu.
Kuwa na ndege ni sifa, ila sifa za kijinga kama hakuna faida. Ndege zinaishiakusafirisha Viongozi wa CCM na Serikali tu.
Turudishieni Fastjet the ndege tuwape waarabu wa Dubai wazichanganye na Emirates zao Maisha yaendelee.
Tulikosea kuwekeza kwenye Ndege.
Hela za ndege tupeleke kwenye Meli za uvuvi tuwauzie Samaki wa Baharini Rwanda, Burundi, Uganda, Malawi, Angola, Zambia nk.
Natamani kuona Tanzania ikiwa kitovu cha Samaki East Africa, Ndege wabaki nazo Rwanda na Kenya. Kahawa waendelee nazo Burundi