Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naamini serikali yetu inawajali sana wananchi wake na inawataka wote wawe na maisha bora. Ningeomba lau iwe inawapa wananchi maskini hasa wa vijijini walau elfu hamsini kila baada ya miezi mitatu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zanguni habari! Nimekuwa nikisoma threads mbalimbali humu katika forum hii yenye kuelimisha. Mengi yamekuwa yakiongelewa kuhusu disappointments ambazo watanzania tumepata baada ya Mkuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Source: http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2009/02/28/132510.html. Wasomi na wafanyabiashara mashuhuri nchini, wamesema kauli ya Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, kuwa mtikisiko wa uchumi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
2009-06-09 07:59:00 Opposition threatens to boycott elections THE CITIZEN CUF leader Prof Ibrahim Lipumba (left) and secretary-general Seif Shariff Hamadi address a press conference in...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Below are a few things i would rather our national 'Mjomba' doesn't do:- 1.called to the White House just because 'he was in the neighbourhood',he had no prior invitation. 2.attend a conference...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Suala la ufisadi sasa si geni tena hapa tanzania,na chimbuko lake ni baadhi ya Watanzania kugundulika kuhujumu uchumi wa nchi.Kumekuwa na wanaopinga ufisadi na wanaotetea ufisadi,matukio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna kitu cha kuangalia sana kama mwitikio wa watawala wakati wa dharura. Kwani ni wakati huo ambapo watawala wanahisi kuwa wanaweza kupitisha jambo lolote lile kwa kisingizio cha "dharura"...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kwa mawazo yangu kama kuna kitu kinapunguza sifa/nguvu za mtu kuwa na uzalendo kamili ni huu ugongwa wa msamaha wa kodi. Kwa maoni yangu wawakilishi wa wananchi ndio watu ambao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
"Dola lazima isimamie sheria ili kulinda haki na kuhifadhi amani. Wajibu huu usipozingatiwa, wataibuka manabii wenye kuihubiri haki kwa kuwahukumu wengine. Hamtabaki salama mkifikia hapo" J.K...
0 Reactions
111 Replies
11K Views
This Day reported that Government of Tanzania has announced plans to bail out the privatized Kiwira Coal Mine, which has failed to generate the expected 200 MW of electricity despite signing a...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Interesting continuation of a conversation I had recently - are we doing what we thought we would be doing 10, 20 or more years ago? I recently reconnected with an old flame who I always knew...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KODI ZETU KUTUMIKA KUILIPA CCM KWA AJILI YA SHULE ZA WAZAZI[TULIZOZICHANGIA UJENZI] ZINAZORUDISHWA SERIKALINI BAADA YA JUMUIA KUZISHINDWA!!! Katika inayoonekana kama mbinu ya kupata pesa za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ballali`s fresh medical twist By Rodgers Luhwago 7th June 2009 A row is simmering between Daudi Ballali’s widow and the Bank of Tanzania (BoT), whom Mrs Ballali says should foot $37,000...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hili wengine tuliandika tokea mwaka jana kwamba Mwakipesile hana mpango tena wa kugombea ubunge wa Kyela. Sihitaji Ubunge Kyela 2010- Mwakipesile Sunday, 07 June 2009 15:07 Na Mwandishi Wetu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu nina swali. Hivi process ya kumreplace Mwalimu Nyerere ili kuaje kuaje? Nini kilim pelekea Mwalimu kuachia ngazi? Je ilikua kwa mapenzi yake mwenyewe au alisha soma dalili za nyakati? Siasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutakuwa na faida gani au hasara gani endapo tutaamua kuitisha uchaguzi mkuu mapema na hivyo kuondokana na mlolongo wa kashfa na watuhumiwa wa kashfa mbalimbali na hatimaye kuunda serikali mpya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kampeni za uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuhia ya wazazi ya CCM Taifa jana zilihitimishwa kwa masumbwi baada ya kuhibuka vurugu kwenye baa ya chako ni chako na kusababisha baadhi ya watu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
1. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria? 2. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti? 3. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Omar Bongo wa Gabon "bado mzima" Imeandikwa na Mwandishi wa BBC Gabon imekuwa katika uhusiano mzuri wa kiuchumi na Ufaransa Serikali ya Gabon imekanusha vikali taarifa zilizoendezwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BUSANDA: Nauliza, naomba kujibiwa! Padri Privatus Karugendo - Raia Mwema 1. Nauliza: Tumewaona mawaziri wa serikali ya awamu ya nne wakipiga kampeni kule Busanda. Walifanya hivyo kwa vile wao...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…