Tanzania claims $58m war debt from Uganda
Yasiin Mugerwa
Parliament
It may be 30 years since the war ended but Tanzanian authorities who came to Uganda as liberators still want the pay check for...
Tanzania kwa upande wangu ingefanya vizuri zaidi kama tusingekuwa na vyama. Hii model ya vyama tunaiga kutoka kwa Europe lakini kwa upande wangu Tanzania ingekuwa mbali kama ingekuwa na wagombea...
Wandugu vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na...
Mara nyingi najiuliza umuhimu wa siasa lakini bado sijapata jibu.
Tena nahitaji msaada wa kujulishwa kama siasa ni lazima katika kuendesha nchi.
Naona siasa kama porojo zinazopingana na...
Mafisadi papa: Si ubaguzi ni masilahi ya taifa
Padri Privatus Karugendo
Raia Mwema – Muungwana ni Vitendo Mei 6, 2009
SIKUSUDII katika makala hii kumtetea Reginald Mengi, na wala siandiki...
Wadau kuna jamaa wamenitonya hapa watakutana na JK mchana huu hapa DK. Mimi nipo mbali kidogo na Copenhagen so kama kuna maswali mnadhani
ni muhimu akaulizwa mnaweza kunipenyezea kabla ya 11:30am...
Spika Sitta alia na mafisadi wa bara la Afrika
Na Leon Bahati
Mwananchi
UCHUNGUZI uliofanyika hivi karibuni umebaini kuwa mafisadi barani Afrika wanaiba fedha nyingi za serikali ambazo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA CHADEMA IRINGA MJINI KUHUSU MSIMAMO WA DR. SLAA
(MB) NA KATIBU MKUU WA CHADEMA KATIKA MASUALA YA MASLAHI YA WABUNGE NA VITA DHIDI YA UFISADI.
1.CHADEMA...
NO WONDER THE INFLATION RATE IN ZIMBABWE IS 2.5 MILLION %
When they were deliberating on energy and power, they were sleeping.
When they were deliberating on economic...
Serikali yavunja wodi ya Raza Z'bar
Tuesday, 05 May 2009 16:45
Na Said Mwishehe
HATUA ya kuvunjwa jengo la wodi ya wazazi ya Hospitali ya Kivunge iliyoko Mkoa wa Kaskazini 'A'...
Vita dhidi ya Mafisadi inahitaji nguvu ya wananchi sasa. Maana mpaka sasa wananchi wamekuwa wasikilizaji na watazamaji tu. Umefika wakati ambapo tunahitaji kutambua kama hii vita ya mafisadi...
Mods, hii inaweza kuunganishwa na main thread baadaye.
waendesha mashitaka leo wamekiri mahakamani Kisutu kuwa mashitaka waliyomfungulia Liyumba na mwenzake yana makosa. Kwa hiyo wameiomba...
Sophia Simba zao la mafisadi?
Na Mbasha Asenga
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
SOPHIA Simba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora, amemtuhumu Mwenyekiti Mtendaji...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Kanali Mstaafu Edmund Mjengwa afuatilie na kuhakiki (value for money) matumizi ya Sh bilioni 1.5 za ujenzi wa...
kutoka mwananchi
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema malumbano ya wafanyabiashara yanayoendelea kushika kasi nchini kuhusiana na ufisadi, hayana tija kwa...
Having made serious accustaions of grand corruption this week, with publications that amount to criminal libel within the penal code of Tanzania if not true, it is worth noting, that Mengi has yet...
Hii si vita ya Dk. Slaa pekee, ni yetu sote
Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
INASIKITISHA kuona viongozi wa ngazi za juu serikalini, hususan baadhi ya mawaziri wakisaidiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.