Ballali's fresh 'medical bill' twist

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,009
Ballali`s fresh medical twist
By Rodgers Luhwago
7th June 2009

A row is simmering between Daudi Ballali’s widow and the Bank of Tanzania (BoT), whom Mrs Ballali says should foot $37,000 (Sh49.9m) in unsettled bills for the late central bank governor’s medical treatment, The Guardian on Sunday has learnt.

According to sources within Ballali’s family, during his treatment in the United States between October 2007 and May 2008, Ballali’s total medical bill totalled around $85,000.

Although the majority of the bill - which was predominantly incurred when Ballali was admitted to a Boston hospital for an undisclosed illness - has already been paid by the family’s health insurance policy, the remaining $37,000 has been outstanding for over a year now.

The $37,000 covers nursing services provided by the hospital after Ballali was discharged but still under special care at his home.

Ballali remained under home nursing care for about three months before passing away on May 16, 2008.

“His wife struggled to settle the bill and finally decided to request the BoT to help foot the pending amount…but surprisingly the bank has declined,” said one family member who spoke to The Guardian on Sunday this week on condition of anonymity.

“Ballali was entitled free medical expenses as the head of the BoT…the fact that he went to the US for treatment as the BoT governor gives him the right to free medical expenses.”

Ballali’s widow, Anna Mganda Ballali, sent the medical invoices to BoT management in March this year, but the bank has so far declined to pay the bills.

BoT Governor Benno Ndullu told The Guardian on Sunday this week that he could not comment publicly because of the private nature of the matter.

“I can’t comment on this through the press because this is a personal matter. If it was something to do with policy I could say something.

This is an entirely personal matter that cannot be answered via the press. It has its internal and unique way of addressing it,” he said.

He added: “I am surprised to learn that the matter has been taken to the press because I think it is worth respecting the late Ballali. Remember we are talking of someone’s personal life. I can not comment on this issue because if I do I would be considered useless.”

Ndullu said the bank has issued Mrs Ballali a written response to her request and that should suffice in closing the matter.

Confusion reigned in the country when reports surfaced last May that the former BoT boss had passed away in the US. Even his close family members kept his death secret before the government made an official announcement a week later.

Ballali was buried in Washington, D.C. on May 23, 2008, at a private funeral arrangement supervised by the De Vol Funeral Home.

Mourners from different parts of the world sent in condolence messages through a guestbook posted on the funeral home’s website.

Ballali, who was fired as Tanzania's central bank governor in January 2008 amid the allegations of embezzlement from the External Payment Arrears (EPA) account, had died a week earlier, on May 16, in a Boston, Massachusetts hospital.

The former BoT supreme left Tanzania in late 2007 for medical treatment but neither official information on his ailment nor the hospital where he was being treated were released.

His departure to the US coincided with the start of a special, government-ordered BoT audit that uncovered the EPA scandal and triggered a sequence of events that culminated in his sacking by President Jakaya Kikwete.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Kwani nani aliwaambia aende huko US akatibiwe kwa pesa zote hizo??

Halafu sasa watu maskini Watz ndo walipie??

Wakati kwanza alizikwa huko2 US??

Huyu marehemu ni liability kwa Tz!
 
wamemlipia Kubean matbabu ndio isiwe huyo Balalali

what are they trying to achieve with this?

walishindwa kumzuia asile leo hiii wameamka eti gharama

my arse
 
Kama alivyosema Gavana Ndullu, this is a private affair, ila BOT isitake kukwepa majukumu. Balali hakufukuzwa kazi, bali uteuzi wake kama Gavana ndio ulifutwa, hivyo stahili nyingine zote kama mtumishi wa BOT zinaendelea mpaka kifoni na baada ya kufa.

Kama ni kweli BOT inataka kukataa kulipa, then, there must be something fishy kwenye hayo madai.

Dada Anna Muganda fight for your rights, haki hailetwi kwenye kisahani cha chai, inadaiwa na ikibidi inapiganiwa.

RIP Gavana Daudi Balali.
 
Marehemu huyu anapotea na na ku resurface from time to time. Lini mambo yake yatamalizika kabisa na kubaki history!!
 
1. Kama alivyosema Gavana Ndullu, this is a private affair,

2. ila BOT isitake kukwepa majukumu. Balali hakufukuzwa kazi, bali uteuzi wake kama Gavana ndio ulifutwa,

3. hivyo stahili nyingine zote kama mtumishi wa BOT zinaendelea mpaka kifoni na baada ya kufa.


.


- Mkuu hapa umeniachia nje, vipi ukifafanua kidogo?

However:

- Sasa wananchi tunaanza kuchoshwa na hii never ending ishu ya Balali, ni kwa nini kila wakati wanatushitusha na vipande vipande tu vya habari bila habari kamili? Who is behind this vipande vipande vya half truths? Kila tukitaka kusahau something pops up, WHY?

- Mnaohusika lini mtatupa a full story ya Balali na BOT na the whole truth, I mean nothing but the truth ya toka siku alipochaguliwa kuongoza BOT, mpaka mwisho wake, kwa sababu hata serikali haikujua amelazwa wapi, BOT wenyewe walikataa kujua alipo zaidi tu ya kukubali kuwa yupo US, sasa leo inakuwaje responsibility ya BOT kumlipia mfanyakazi wake ambaye hata BOT yenyewe haikuhusika na kumpeleka kutibiwa huko US? Nauli ya kwenda huko US ililipiwa na nani? Na this whole thing na Balali mbona haikeleweki? Who is behind all this half truths?

Respect.

FMEs!
 
hio familia si walikubaliana na serikali kufanya kila kitu private kwa public mpaka siri za EPA na mazishi? sasa inakuwaje leo mambo ya bili ya hospitali wanaleta kwenye media? mambo yote ya kuficha waliweza kuficha kwa kushirikiana na serikali sema leo serikali imewageuka kwenye bili wanataka hilo swala liwekwe kwenye public hili watu wote wajue.sidhani kama public itawaonea huruma cha muhimu watafute wakili wamalizane mambo yao kimya kimya,we are not intrested any more about balali ISSUES cause when we wanted serious answers about the EPA drama no one was there for the public.
 
Arsene,
No one in the family has come to complain in public. Sources wa hii stori kwenye Guardian ya leo si mtu wa upande wa family. Imetoka within the BOT. Sasa labda uwaulize hao ndani ya bank walioamua ku "leak" this info. walikuwa wanadhamiria kitu gani. Soma tena comments za Gavana Ndullu.
 
Arsene,
No one in the family has come to complain in public. Sources wa hii stori kwenye Guardian ya leo si mtu wa upande wa family. Imetoka within the BOT. Sasa labda uwaulize hao ndani ya bank walioamua ku "leak" this info. walikuwa wanadhamiria kitu gani. Soma tena comments za Gavana Ndullu.
kwenye taarifa hile inaonesha kuna mtu kwenye familia ambaye hakutaka jina lake litajwe nadio kapeleka habari gurdian.na ndio maana gurdian wakamtafuta prof.ndullu kuzungumzia hilo swala.
 
aaah!!aaah!!jamani msiendelea kututia kizunguzungu na hii habari ya huyu mtu tangu mwaka whatever the year was/is ni Ballali bin Ballali. Wanandugu wanafamilia wekeni wazi kila kuanzia kuugua kwake mpaka mauti ilipomfika halafu sisi watanzania tutaona kama anastahili kulipiwa hayo matibabu sio kuja na agenda ya siri...kwani hela za EPA bado zipo au ndio mnataka kumaliza kabisaaaaaaaaaaHivi mnaona watanzania ni watu wa kudanganywa kila siku tunaomba mapumziko kidogo roho zinaumia
 
If balali kala EPa inakuwaje mke wake anadai a mere 37,000$ which is peanuts!! Something doesnt add up!!
 
Je wewe ungekuwa gavana wa bot, unafuatwa na chama tawala unaambiwa ukipe chama hela ungekataa?
Unajua ukikataa lazima ujiaandae na kukimbia tz maana yake hawata kuacha

nahisi kabisa balali hajafa kama angekuwa amekufa serikali ingehakikisha maiti yake inarudishwa tz, ili kumaliza ile kesi kabisa
 
Inasemekana balai hajafa, bado yupo hai! Huu ni mchezo wa kuigiza ili kuficha ushahidi, balali yu hai,sema amefanyiwa plastic surgery kumbadilisha kidogo, inawezekana hizo gharama wanazodai ni zile za plastic surgery! Amakweli watanzania tunakazi!....
 
wamemlipia Kubean matbabu ndio isiwe huyo Balalali

what are they trying to achieve with this?

walishindwa kumzuia asile leo hiii wameamka eti gharama

my arse

Mkuu unaweza ukawa sahihi kabisa ila sasa hapa naona kama watu wanajitafutia hela za makusudi kabisa ili wazile vizuri. Sio kama kuna muunganiko wowote hapa.

Na tulivyowajinga basi tutasema kweli zilipwe maana wanadaiwa, he he hili ni changa la macho. Bajeti zao naona hazijafikia target sasa wanatafuta kila jinsi maana Fund raising siku hizi watu wanaogopa kuhudhuria
 
BOT waache longo longo na walipe deni maana contract kati yao na Marehemu Balali itakuwa inasema anapata matibabu bure. Wapige hesabu kuanzia siku aliyoingia hospital mapak siku JK alipotengua uteuzi wake.
 
Legally kama contractually he was entitled to that care, BOT waache fixi na walipe deni hilo, wasijidai sasa hivi ati wazalendo..kama hawata honor mkataba basi wakatae kulipa madeni mengine ----IPTL, Dowans etc etc...
 
- Mkuu hapa umeniachia nje, vipi ukifafanua kidogo?

However:

- Sasa wananchi tunaanza kuchoshwa na hii never ending ishu ya Balali, ni kwa nini kila wakati wanatushitusha na vipande vipande tu vya habari bila habari kamili? Who is behind this vipande vipande vya half truths? Kila tukitaka kusahau something pops up, WHY?

- Mnaohusika lini mtatupa a full story ya Balali na BOT na the whole truth, I mean nothing but the truth ya toka siku alipochaguliwa kuongoza BOT, mpaka mwisho wake, kwa sababu hata serikali haikujua amelazwa wapi, BOT wenyewe walikataa kujua alipo zaidi tu ya kukubali kuwa yupo US, sasa leo inakuwaje responsibility ya BOT kumlipia mfanyakazi wake ambaye hata BOT yenyewe haikuhusika na kumpeleka kutibiwa huko US? Nauli ya kwenda huko US ililipiwa na nani? Na this whole thing na Balali mbona haikeleweki? Who is behind all this half truths?

Respect.

FMEs!
Ukiajiriwa kwenye utumishi wowote, unakuwa na haki zako za msingi ambazo hizo ni stahili yako na haziwezi kuondolewa ama kuwa compromised kwa namna yoyote, miongoni mwa haki za msingi ni pamoja na mshahara, likizo, kuacha kazi etc. waajiri wengine wanatoa matibabu.

Ukiteuliwa kushika wadhifa fulani, ule wadhifa mpya hauondoi haki zako za msingi, bali unaongezea marupurupu yanayoendana na huo wadhifa mpya.

Balali (RIP) alikwenda kutibiwa US akiwa na wadhifa wa Gavana wa BOT.
Wakati akiendelea na matibabu, huku nyuma uteuzi wake kama gavana ulisitishwa, hii haimfutii stahili yake kama gavana.

Mind well, he was not fired kama media walivyo claim, hakufukuzwa kazi, yaani not dismissed, bali uteuzi wake kama gavana ndio ulisitishwa na haki na stahili zake nyingine zote akibaki nazo kama mtumishi wa BOT ikiwa ni pamoja na mafao ya gavana kwa warithi wake.

Sickness ni mambo ya ndani ya familia na its wrong yameleak kwenye media.
 
Legally kama contractually he was entitled to that care, BOT waache fixi na walipe deni hilo, wasijidai sasa hivi ati wazalendo..kama hawata honor mkataba basi wakatae kulipa madeni mengine ----IPTL, Dowans etc etc...

Balali yes, yawezekana kimkataba ana haki lakini kwa kua aliEPA na basi mkataba ni batili, hizo bill zake utazilipaje hivi hivi bila mizengwe? Wakitaka waende mahakamani.
DOWANS, IPTL watalipwaje kilaini? Mradi tunajua walichofanya basi hamna kuwalipa bila mkwara. Hata hivyo IPTL, DOWANS, etc wakilipwa tokana na Mafisadi kuikalia serikali kooni haina maana kua ni halali kulipa wezi wote.
 
Back
Top Bottom