M
Reaction score
80

Profile posts Latest activity Postings About

 • Mtanzania, nimekulia Kilombero na kusoma shule za msingi Kidatu na Kilombero. Na mpaka sasa nina mashamba ya nafaka kilombero. Nilikuwa huko mwaka jana August na October. Ninaijua wilaya ya Kilombero nje ndani. Hivyo nilikuwa namjua marehemu Regia vizuri sana mpaka nyumbani kwao. Kwa kweli nimepata msiba mkubwa kwani Regia alikuwa ni zaidi ya rafiki.
  Uwiano Maalum,

  Mimi sasa nimejitambulisha kwa zaidi ya asilimia 80. Mtu yeyote ambaye nimewahi kufahamiana naye, akisoma maandishi yangu anajua mtanzania ni nani. Hata kwenye hili nilivyoandika mwanzoni ni wazi Dr. Apiyo na wengine wanajua mimi ndiye nimeandika. In fact hata amewasiliana na kusema asante kwa ku clarify baadhi ya mambo pale mwanzoni kuhusu uhusiano wa Dr. Apiyo na babake.

  Msimamo wangu juu ya hili nimeuandika hapa JF mara nyingi sana. Ni mpinzani wa kuua huduma zetu na kukimbilia nje.

  Hicho ndio nilitaka kukuambia kwamba naunga mkono mawazo yako lakini kwenye hili sitatoa comments kule kwasababu ya kutokumwumiza Dr. Apiyo ambaye tunafahamiana na anauguliwa na kufiwa na dadake. Nitaendelea kuandika wakati mwingine.

  Hicho tu ndio nilitaka kukuambia mkuu. Unaweza usikubaliane na mawazo yangu.
  Nimeona visitor message yako kwangu kuhusu Kiongozi mstaafu aneugulia kule kwa Zuma.

  Kwanza, nafurahi kuona kuna watu wanaelewa kwamba sio vizuri viongozi wakiwa wanakimbilia kutibiwa nje wakiwaacha wananchi wanakufa kwa kukosa dawa za magonjwa yanayotibika kama Malaria.

  Lakini Mtanzania, sikuelewi unaposema unafahamiana na ndugu za yule Mzee kwa hiyo usingependa kuwaongezea masikitiko ndio maana umeficha mawazo yako huku. Jamaa wanajua wewe ndio "Mtanzania"?

  Kama hawajui ila tu unawaonea huruma basi huna uchungu wa kweli na mali za umma zinavyotumika kuhudumia wachache. Wengine pia tuna jamaa na marafiki uongozini huko wanakamua na tunawasema nyuma ya hizi pseudo names zetu. Sasa kama tunatumia majina bandia na bado tunaogopa hapo sasa hatuna uzalendo.

  Viongozi wanapojipatia luxury ya matibabu nje ambayo wananchi hawapati huo sio utu.
  Do you realize how vital you were on 2008? To friends! To family! To co-workers! And mostly to God?
  I wish you the best 2009 and all your goals be attained. I pray... Amen
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top