Je Ufisadi ni kutokana na baadhi ya Watanzania kujiona wanahaki zaidi ya wengine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Ufisadi ni kutokana na baadhi ya Watanzania kujiona wanahaki zaidi ya wengine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Jun 11, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Suala la ufisadi sasa si geni tena hapa tanzania,na chimbuko lake ni baadhi ya Watanzania kugundulika kuhujumu uchumi wa nchi.Kumekuwa na wanaopinga ufisadi na wanaotetea ufisadi,matukio mbalimbali yamekuwa yakiwapata pande zote,tena mengine ni matukio ya kuhatarisha maisha ya wahusika.Hivi ni kwanini ni vigumu sana kuungwa mkono kwa wanaosema ukweli juu ya ufisadi na badala yake nguvu ya fedha ndio hufanya kazi?Je Nchi yenye jamii ya aina hii itaendelea haraka au kwa kusuasua?Wana JF tuelimishane.
   
Loading...