Opposition threatens to boycott 2010 elections | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Opposition threatens to boycott 2010 elections

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BAK, Jun 9, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,691
  Trophy Points: 280
  2009-06-09 07:59:00

  Opposition threatens to boycott elections
  THE CITIZEN

  CUF leader Prof Ibrahim Lipumba (left) and secretary-general Seif Shariff Hamadi address a press conference in Dar es Salaam yesterday where they demanded the disbandment of the National Electoral Commission (NEC).
  By Elias Mhegera

  The opposition Civic United Front (CUF) has threatened to boycott next year's elections if the National Electoral Commission (NEC) is not disbanded and replaced by "a new independent electoral body".

  Addressing a press conference in Dar es Salaam yesterday, CUF leader Prof Ibrahim Lipumba demanded the dissolution of the NEC before the 2010 general election.

  He said the electoral body had been compromised by the ruling party CCM and as such no longer serves the interests of all political parties participating in all elections.

  "With the current state of things it is a waste of time and resources for any other party besides CCM to participate in any election in the country," he said at the party's headquarters in Buruguruni.

  Prof Lipumba lambasted the electoral body saying it had become an agent of the ruling party, and hence had lost its credibility.

  He urged other opposition parties to unite with CUF in rejecting the NEC, which he accused of refusing to allow opposition agents to supervise voting during key elections.

  He described the recent by-election in Busanda as a "sham" saying the ruling party's victory was a result of dirty campaigning, which the electoral body ignored.

  "This time again we have lost because of CCM�s dirty campaigns including denying our agents the right to monitor voting at polling stations," Prof Lipumba alleged.

  Last week, the Chama Cha Maendeleo (Chadema), which posed the biggest threat to CCM in the by-election, also raised similar concerns.

  The opposition's leader, Mr Freeman Mbowe, told journalists after the election that the NEC had helped the ruling party win the by-election.

  The by-election was marred by allegations of vote buying by the ruling party and violence against opposition leaders by suspected CCM youths.


  Senior officials of the ruling party, including ministers Lawrence Masha (Home Affairs), William Ngeleja (Energy and Minerals) and John Magufuli (Livestock Development and Fisheries) took a key role in campaigning for the CCM candidate, Ms Lolensia Bukwimba.
   
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Simuelewi Prof hata siku moja. Afadhali azungumze kinyamwezi
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Je huyu nae hujamuelewa?
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  -This is the same old story from opposition in the run up to the elections
  -CCM WATAFURAHIA TU MAANA MKISUSA WAO WALA.
  -Upinzani haujawahi kushikamana kiukweli hata mara moja... hebu tuone safari hii kama watafanya kweli.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  MHHHHH

  haya
   
 6. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nadhani kuna ukweli kuhusu NEC kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa Busanda.

  Ni wazi kuwa kama CCM wangefanyiwa kama walivyofanyiwa CHADEMA na/au vyama vingine vilivyoshiriki, basi matokeo yangefutwa haraka sana. Ila kwa kuwa aliefanya yote hayo ni yule anaeruhusiwa kuyafanya, basi hakuna kosa lililofanyika. Hii sio fair na inaonyesha incompetence ya hali ya juu kwa NEC. NEC imeonyesha kutofaa tena kusimamia uchaguzi.

  Naamini kwa dhati kabisa kuwa, Mwaka 2010, CCM watashinda kwa kutumia NEC. Itashinda kwa uzoefu wa Kenya na Zimbabwe ambako wamejifunza kwa furaha sana jinsi ya kushinda uchaguzi hata kama umeshindwa kupata kura za kutosha. Inahuzunisha sana.

  Ila, ninachofikiri ni kwamba, watu wote wenye stahili ya kupiga kura wasiache kupiga kura. Hata kama wanaetaka kumpigia kura hayupo kwenye orodha ya wagombea. Labda tutawekewa vivuli tena. Na mimi niko tayari kukipigia kivuli, this time.

  Wapinzani wanatakiwa kushirikiana kusababisha mabadiliko katika NEC na kuondoa waliopo (wote ikibidi), kwa maana ni dhahiri wamelewa madaraka na wako kwa niaba ya CCM pekee. Wanatakiwa kudai tume mpya, inayokubalika na wadau wote wa siasa. La sivyo, watapaa na helikopta, watapigwa virungu na bado kura zao zitachanwa na zilizobaki kuwa za CCM pekee, na kuhakikishia CCM ushindi wa kishindo.
   
 7. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,081
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  ... hawa ni waswahili tu..., siasa zao magazetini. Wasiwapotezee watanzania muda.
  Watanzania wafikirie wayforward bila hawa makuwadi wa CCM wakijiita wapinzani. Kila siku kulalama tu, hawana mkakati wowote ila kila wakati wanaishia kutambiana, kualalamikiana na kuoneana wivu wao kwa wao.
  There is no serious brain.
  Ilikuwaje Lipumba akumbuke kupanda punda Busanda halafu asahau kusimamia masuala madogo kama la kuandaa mawakala? Aibu!
  Kwa matendo na tabia zao, licha ya kutokuwa na madaraka ya dola, wapinzani wetu (wote) hawatofautiani na matutusa ya CCM.
  Watanzania tufikirie kuanzan upya.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Why now when we are nearing 2010? Where have they been all this time? Kwanini upinzani wa Afrika kila uki shindwa chaguzi basi ni kwa ajili ya walakini? CCM bado ina base kubwa. Wakati upinzani ina concentrate mijini wenzao wana concentrate vijijini ambapo majority ndipo walipo. Upinzani please stop talking the talk and walk the walk.
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wanasema tu hawawezi kuachia RUZUKU wakati ndio inawapa kula yao.. Kama wanataka kufanya kweli kwanza waondoe tofauti zao na kuungana..
  CUF wakisusia Chadema watasimama....Chadema akisusia CUF wanasimama, CUF na Chadema wakisusia TLP atasimama... CUF, Chadema na TLP wakisusa, NCCR watasimama.. basi ili mradi kila mmoja anatazama tumbo lake.
  Nawajua vizuri Wadanganyika...Haiwezekani kupotea kabisa kuwa Miafrika ndivyo tulivyo!
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  mm naona kuna ukweli,jamani eeh! hata kama uwe mkali vp, huwezi kushinda gemu kama mpinzani wako anabebwa na rifarii, ww ukipachika mbili wavuni, rifarii anaacha matano katika wavu wako, ukisema ususie gemu siku nyengine, mpinzani wako anachukua points za chee,inakuwa kama hadithi ya Mmasai na n´gombe, anawapiga bakora wa nyuma kumbe wa mbele ndo hawakazani.
  Ipo haja ya kuwa na tume huru, tume zinazoongozwa na makada(kama hasa ile ya ZEC) haziwezi kamwe kuendesha uchaguzi huru na wa haki.
   
 11. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tume Huru ni kama ipi? hebu fafanua kwa kutoa mfano wa mchanganyiko unaopendxekeza wewe katika Tume -Isijekuwa una fikra za kuondoa makada na kuleta makada wengine (wa upande mwengine) ambao aghalabu wanakuwa ni ghasi zaidi. Kama ilivyofanyika kule katika ZEC. Watu walilamika wakaondoshwa waliohofiwa kuwa ni makada wa Chama fulani lakini walioingizwa wengine wakawa makada wa Chama chengine ambao hata walikuwa hawana aibu kusema hadharani kuwa wao wapo pale katika Tume kulinda maslahi ya Chama chao
   
 12. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Pakacha,
  Wapinzani kule DRC walikuwa na malalamiko kama haya katika uchagizi mkuu wa 2006, serikali ikaona hebu imchague mtu ambaye ataaminiwa na wadau wote, akamteua Askofu Apolinary Malumalu kuwa kiongozi wa tume, na wacongo wakafanya angalau kitu kinaitwa uchaguzi,sisemi na tz wafanye kama congo lakini uwepo mchakato wa kuteua tume itakayoridhiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi, wajumbe wachekechwe na watoke katika makundi ¨"fair" katika jamii,kama taasisi za haki za binaadamu mfano akina mama Kidjo Bisimba, Prof. Haroub Othman etc namna kama hiyo(si lazima wawe hao,lkn wanaweza kuwa kama hao).
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,691
  Trophy Points: 280
  Jirani, hili ndiyo tatizo kubwa la upinzani. Yaani kuna baadhi ya vyama vina upinzani mkubwa baina yao kuliko hata ule waliokuwa nao na chama twawala. Watazungumza matatizo chungu nzima lakini ukiwauliza jamani kuungana vipi? wanaanza kung'aa macho kwa jinsi walivyojawa na ubinafsi wa hali ya juu na hivyo kuogopa kupoteza nyadhifa zao pindi watakapoungana.
   
 14. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ni vizuri tukatambua na kukubali kuwa muungano wa Upinzani wote hauwezekani. Kwanza si vyama vyote vinaaminika, kuna vingine vilianzishwa kwa lengo maalum la kuhakikisha huo muungano haufanikiwi (sera ya divide and rule). Kama chaguzi chache zilizopita zilivyoonyesha, tegemeo la upinzani liko kwa vyama viwili tu - Chadema na CUF. Ushauri wangu ni kuwa badala ya kuungana CUF ijiimarishe zaidi visiwani na Chadema bara - nina imani kuwa baada ya uchaguzi wa 2010 vyama vya Mrema, Cheyo na wengineo vitakufa natural death.
  Katiba ya sasa ni mtaji mkubwa wa CCM
  Pia ni kisiki katika uchaguzi ulio huru na wa haki.
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkuu Recta ninataka kuamini kwamba you are bigger than this, Tarime Chadema walisaidiwa na nani kushinda? Utitiri wa vyama 21 vya siasa utaishinda vipi CCM? How? And WHY? NEC ni wabaya Lipumba, aeleze CUF wanashindaje kule Pemba bila ya tatizo?

  - Kura zikishindana 50% kwa 51%, hapo kweli somebody has the right kulalamika, lakini kura 80% kwa 3%, kura 51% kwa 44%, unaweza hata ukadiriki kusema eti washindi walipata wakati mgumu, are you kidding me or what? That is no contendre yaani hakuna competition, hawa kina Lipumba wameshindwa kutumia ruzuku for the good of people, sasa watoke basi wawapishe wengine, kama wanataka kubadili katiba ya jamhuri waende bungeni,

  - Hii ndio demokrasia tuliyoililia ya vyama vingi, sometimes kuna upinzani kushinda kama Karatu, Kigoma, Moshi, Tarime huku NEC haikuwaonea, lakini ikasubiri Busanda tu na kuwaonea, pleasee! Uongozi kwenye demokrasia hupatikana kwa vote tu wandugu, sio kwenye Election Commission yamewashinda ni kubwaga manyanga tu sio kutishia nyau watu wazima hapa! Katiba haibadilishwi kwenye uchaguzi ila ni bungeni tu!

  - Waanze kugomea ruzuku kwanza kama kweli they are for real!

  Respect.

  FMEs!

   
 16. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nadhabi ni wakati sasa hii NEC ibaddilishwe kabla ya uchaguzi.Ni ngumu kwa kweli kwa chama kingine kupata ushindi ikiwa membrs wote wa NEC wanachaguliwa na mwenyekiti wa chama tawala ambaye ni rais wa taifa hili.hawa watu wa nec wapo kwa ajili ya ku-serve interests of the rulling party.
  ila ninge-suggest hawa upinzani walilie hasa nadilisho ya katiba yetu mbovu ambayo ni kandamizi kwa kweli aila kitendo cha wao kususisa uchaguzi sidhani kama ni cha kiungwana.
  wajitambue kwanza na wafanyie marekibisho makubwa kassoro zao kwa kuungana ndio wanaweza kuwawez ccm mana they can be stronger united rather than being divided as they are.
  they are more power driven jst like ccm.
   
 17. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Sawa sawa, tupo pamoja sana hapa mkuu.

  Respect.

  FMEs!
   
 18. Mukuru

  Mukuru Member

  #18
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli tume ya uchaguzi ni kanyabwoya....inatekeleza matakwa ya 'tajiri' yao. Kuna haja ya kuwa na tume huru vinginevyo bora CCM wajulikane kuwa wanatawala milele kama masultani/wafalme!

  Hebu ona walivyotupiga bao....

  CONSTITUTIONAL PRIVILEGES OF THE NEC:
  No Court shall have power to inquire into anything done by the National Electoral Commission in the discharge of its functions in accordance with the provisions of the Constitution
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kha! Upinzani bwana,muda mwingine maigizo mengi. Wasuse tu, CCM wale kwani kuna cha la zaidi. Badala waje na mikakati imara kuboresha vyama vyao na upinzani ndo kwanza wanatuchanganya..
  Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!!!!
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  wapinzania wanashangaza sana......walifikiri ccm itatoa nchi tu hivi hivi! kwa wema gani mlowafanyia?!

  mkitaka jimbo tu lazima mtoke jasho ........kampeni za kueleweka, ufuatiliaji wa wapiga kura wako siku hadi siku, kuonekana jimboni sio wakati wa kampeni tu, kusikiliza na kuchangia katika kutatua matatizo ya wananachi.......vyenginevyo fisadi ccm atamwaga mapesa tu na kwa dhiki ya wananchi watapokea
   
Loading...