Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Call for transparency on State House funds By Mwanamkasi Jumbe THE CITIZEN Prominent economists are calling for a review to enhance transparency in the management of the Consolidated...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Aleta hasara kwa serikali Akabidhi mahindi hewa Na Mwandishi Wetu MwanaHALISI ~ Maslahi ya Taifa Mbele TUHUMA mpya za ufisadi zimeibuka dhidi ya mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na kumzamisha...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Kama mjuavyo wanajeshi wetu ambao wengi wao ni kaka zetu, baba zetu, dada zetu na wajomba wetu wamerudi baada ya kumaliza latest military adventure za JK na MEMBE kule Comoros. Mimi na wenzangu...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Endapo kampeni ya kumzuia JK kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM 2010 itafanikiwa Taifa letu litakuwa matatani kwani itakuwa ni mgawanyiko ambao Taifa haliwezi kustahimili. Kwa ajiili ya amani, umoja...
0 Reactions
127 Replies
17K Views
Kamishina wa uhamiaji Z'bar adaiwa 'mweupe' Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 20th April 2009 @ 08:22 Imesomwa na watu: 385; Jumla ya maoni: 4 MAONI YANGU KWA HABARI HIYO:rolleyes...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jana mwenyekiti wa UDP Bwan John Momose Cheyo almaaruf Bwana Mapesa alinukuliwa akiwaambia wapiga kura wa Jimbo la Busanda kuwa wasiwazomee Viongozi wa CCM badala yake wawaambie "stop this...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kuna ufisadi ambao unaonekana kama biashara ya mtu basi ipo pale Zanzibar airport ,inajulikana dunia nzima kuwa airport fee inakusanywa kutokana na mauzo ya tiketi ,unapokata tiketi tayari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kuona sasa hakuna njia ya kuiba BOT Serikali ya CHAMA CHA MAJAMBAZI imeanza kutumia mashirika ya UMMA kuchota fedha hazina kwa ajili ya kampeni 2010 Akiongea kwa minajili ya kutotajwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By. M. M. Mwanakijiji Corruption moves from less corruption to more corruption. That is the natural trajectory of corruption. In rare occasions, a society might witness the unusual movement from...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari nilizonazo, JK yupo nchini Denmark kwa ziara ya kikazi, yeyote mwenye habari zaidi?
0 Reactions
51 Replies
7K Views
SMZ yazidi kuubomoa Muungano yataka bara walipe kodi ya ardhi Na Salma Said, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza mkakati mpya wa kuwataka wawekezaji na watu wenye asili ya...
0 Reactions
107 Replies
11K Views
Katika taarifa ya habari ya juzi usiku, Mzee Mengi aliwataja watu watatu wanaompa ujasiri wa kupambana na ufisadi. Alikuwa akijibu swali juu ya wapi na nani anampa ujasiri. Alimtaja Mwenyezi...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Kwanza naomba kutamka mapema kuwa haya ni mawazo yangu binafsi. Yanaweza kuwa sio sahihi lakini bado yanabaki kuwa mawazo, na something is better than nothing.Kama ni ya kipuuzi,achana nayo.Kama...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Baada ya gazeti la KULIKONI kuandika tahariri yenye kuonyesha kupingana na taarifa ya serikali, serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, imeelezwa kutoa tishio la kulichukulia...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Ninaweletea hapa jukwaani hotuba aliyoitoa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe katika viwanja vya Katoro Busanda ili jamvini tuone kweli kwamba kinachofanyika Busanda ni zaidi ya uchaguzi ZITTO KABWE-...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Magazeti yatia aibu kupotosha hukumu dhidi Mwanahalisi Kuna habari kwamba baadhi ya wahahariri wa vyombo huru vya habari wameomba Jukwaa la Wahariri litoe tamko kuhusu upotoshwaji wa kimakusudi...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Our nation is facing a security breach, a breach that poses a clear and present danger to the nation's life and our fate as a nation. As Tanzanians and patriots it is our immediate duty and indeed...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Na Tumsifu Sanga LICHA ya mahakama kuruhusu uuzaji wa samaki waliokuwa wamevuliwa kwa njia haramu zoezi hilo linaonekana kukwama kutokana na kukosekana kibali kutoka kwa Mkurugenzi wa Uvuvi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Bw. Pius Msekwa amesema kuwa mgongano na hatimaye kumeguka kwa chama cha ANC kabla ya uchaguzi wao Mkuu wa Rais na Wabunge hakiwezi kutokea kwenye...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
visit www.kwanzajamii.com na taarifa ya kamati ya slaa yala posho mara mbili, na suala la mengi vs rostam ni mpambano wa kibiashara na si ufisadi. toleo namba la gazeti sikuiona. lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom