Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Never heard of this Tanzania Education Trust Designer Kenneth Cole (L) and President Jakaya Kikwete attend the Tanzania Education Trust New York Gala hosted by President...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ndg. Wazalendo, nimefuatilia sana hizi safari za Mhe. kwenda Marekani naona sasa zimenichosha, safari zimekuwa nyingi, na anakaa muda mrefu kiasi kwamba shughuli nyingine inabidi afanyie Marekani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:target::target: Please Read Kigoma region in Northwestern Tanzania is among the poorest and most marginalized areas in the country. For decades Kigoma and the neighboring Kagera region have...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais Kikwete aumbuka Na Saed Kubenea KUMBE Rais Jakaya Kikwete hakusoma sheria aliyosaini kwa mbwembe. Sasa baada ya kugundua kasoro zake anataka ikarabatiwe kwa njia ya kanuni...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa ni kama injini mpya ya gari (standard), ikaongozwa na baba wa taifa hadi alipoamua kung'atuka ili apishe wengine kuongoza na kurekebisha pale yeye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Majuzi nimeshhangaa sana kuona watu walioua watoto wachanga si chini ya miamoja.watu wazima si chini ya hamsini jamani leo hii wameamishwa kutoka mwananymala kusambazwa hospital nyingine Bado...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUKIO la mawaziri wawili ambao ni Stephen Wassira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, na Ezekiel Maige, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii kuungana na wadau mbalimbali kupinga muswada wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
(Uchambuzi) Na Mbasha Asenga WAKATI Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa nchini, George Liundi, alipomaliza utumishi wake kwenye ofisi hiyo na ghafla akatangaza na kuanza harakati za kusaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Transparency International seeks nominations to recognise inspirational anti-corruption heroes Berlin, 19 April 2010 The deadline for nominations for the Transparency International Integrity...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu TANZANIA imeshapoteza Sh11.6 trilioni, ikiwa ni wastani wa Sh289.3 bilioni kila mwaka kutokana na ufisadi, ukwepaji kodi na mzunguko wa fedha haramu, kwa mujibu wa matokeo ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI “TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGAWAJI WA MAJIMBO NA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU WA 2010” 1.Ugawaji wa Majimbo Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Zitto awagonganisha wazee Kigoma, Geita Na Renatus Masuguliko 19th April 2010 Wavutana kwa zaidi ya saa saa saba Kigoma wawataka Geita wasubiri miaka mitano Wamfananisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana, Imekuwa ni ada sasa kwa wanasiasa na hasa katika Bunge letu tukufu kusisitiza aidha umuhimu wa kujipanga au kusema kuwa sasa wanajipanga au wamejipanga. Tatizo kubwa ni kuwa, toka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kusoma makala hii. Mema ya serikali yasiyostahili asante Ansbert Ngurumo KATIKA kufuatilia mnyukano wa nguvu ya hoja na mabavu kati ya Shirikisho la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kupewa ufananuzi kuhusu ziara za Rais (JK) nje ya nchi.Haupiti mwezi mmoja bila Bwana Mkubwa kusafiri nje ya nchi. Ninabaki na maswali kichwani! hivi hana watu anaowaamini wa kumwakilisha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya kusikia wabunge wanalalamikia sheria mbaya ndipo nimejua kuwa kuna matatizo Bungeni! Kiasi cha Spika kuwakumbusha wabunge kuwa wao ndio watunga sheria wenyewe! - Kukataliwa sheria ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na. Lula wa Ndali Mwananzela (Raia Mwema) KATIKA kesi hii inayoendelea nchini, ambayo imedumu kwa muda mrefu, masuala makubwa mawili yanatarajiwa kutolewa uamuzi na Mahakama ya Rufani...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Juhudi za Tanzania Association UK (TA UK) na zile za Zanzibar Walfare Association (ZAWA) Za kujaribu kumpata Rais wa Zanzibar ambae pia ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ili...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Na Frederick Katulanda Gazeti la Mwananchi SPIKA Samuel Sitta jana alimshauri Zitto Kabwe kuachana na ndoto za kuwania ubunge wa jimbo la Geita, lakini muda mfupi baadaye kiongozi huyo wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani mimi naamini na wengine pia tungependa kuona wenyewe badala ya kusimuliwa. Kama **** mtu anaweza kutumegea yale muhimu bila shaka tutashukuru. Pia kwenye uchangiaji itakuwa 15mins per MP...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…