Kuna haja ya Kikwete kupewa jimbo marekani awe gavana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya Kikwete kupewa jimbo marekani awe gavana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicazius, Apr 20, 2010.

 1. Nicazius

  Nicazius Senior Member

  #1
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndg. Wazalendo, nimefuatilia sana hizi safari za Mhe. kwenda Marekani naona sasa zimenichosha, safari zimekuwa nyingi, na anakaa muda mrefu kiasi kwamba shughuli nyingine inabidi afanyie Marekani kama yeye pia ni raia wa Marekani kwa kisingizio cha Tanzania.

  Hivi kweli Maraisi wengine wa Afrika nao wanakuhusudu Marekani kama Mhe. Si bora ahamie huko tujue moja.

  Mimi naona bora Mhe. apewe uraia wa Marekani ikiwezekana awe Gavana au Seneta kabisa, kwani hizi safari zitapungua kwani atakuwa ndani ya Marekani kuliko hasara anayoitia Taifa na wakati deni la Taifa linazidi kuongezeka.
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha.kwi kwi kwi.Teh teh teh...mbavu zangu...
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ironically unamaanisha hatufai kuwa presidaa wetu
   
 4. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  I am very sorry to break the news.

  There's no way for him to even sit in city council board. He will be a total waste to taxpayer money as he is doing right now.

  Only here in TZ we can have irresponsible people like him in higher office wasting our money.
   
 5. k

  kero Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am no sure whether it is our money or it is just a say. Tanzanian have never had money.
  TOP SECRECY
   
 6. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hope you don't believe that nonsense.
   
Loading...