Sheria ya Madini 2010 Bungeni kwa hati ya dharura - Naomba iwe live hapa

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Jamani mimi naamini na wengine pia tungependa kuona wenyewe badala ya kusimuliwa. Kama **** mtu anaweza kutumegea yale muhimu bila shaka tutashukuru. Pia kwenye uchangiaji itakuwa 15mins per MP sasa mkitupa list ili tuweze kukimbilia kwenye tv za karibu itakuwa jambo jema hasa kwa wabunge wanatoka maeneo ya machimbo bila kusahau michango ya akina Zitto, Slaa, Ole Sendeka. Pia kubalance Rostam, EL, Peter na Selelii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom