Lukuvi kuhamisha wahudumu wabovu maofisini ni suluhisho??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Majuzi nimeshhangaa sana kuona watu walioua watoto wachanga si chini ya miamoja.watu wazima si chini ya hamsini jamani leo hii wameamishwa kutoka mwananymala kusambazwa hospital nyingine
Bado najiuliza mh lukuvi hii ni suluhisho la kutokomeza uovu.....,uoni kamawalikuwa wauwaji wanazidi kuendelea kuua....kama wakatili unahisi wakienda mikoani wataacha ukatili
hawa awakuwa tofauti na maharamia wa somalia jamani...serikali ni wanafiki ukiwona hivyo kuna mmohja wa ndugu wa KIONGOZI yamemkuta wakajifanya wameamua kuwabadilisha...
Hili si soln ya KUMALIZA MATATIZO MAOFISINI.....
 
Kama imethibitishwa kuwa ni wauaji kwanini wasichukuliwe hatua za kisheria? Na kama haijathibitishwa kwanini kuwaita wauaji?
 
Nchi za wenzetu wanaojali maisha ya binadamu wengine wanazo sheria na taratibu za kazi madhubuti kabisa ambazo kwazo mtumishi wa sehemu kama hospitali kamwe hathubutu kufanya uzembe kazini kwake kwa sababu ya kuogopa kuchukuliwa hatua kali, kufikishwa mahakamani na kupoteza ajira.

Hapa kwetu mmmmh! Wauguzi na madaktari wanaua, wananyanyasa na wanafanya kila aina ya vitendo kinyume na maadili ya kazi zao lakini hakuna lolote la maana linalofanyika dhidi yao ili wengine wasijaribu kufanya vitendo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom