UN, is that all we want in Kigoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UN, is that all we want in Kigoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Apr 19, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  :target::target:


  Please Read

  Source: www. Tz. undp.org

  Mimi nashangazwa sana na hawa UN na mipango yao kwa mikoa iliyopokea Wakimbizi pale UN wanapoamua kuisaidia/ kuifidia mikoa hiyo. Yaani wanashindwa kujua vipau mbele vya mikoa hiyo? Kwao shule za sekondari na zahanati ndizo zitakazosimumua maendeleo ya mikoa hiyo?

  Nashangazwa pia na Serikali yetu kushindwa kutumia nafasi ya uwepo wa UN na Uharibifu unaosababishwa na uwepo wa Wakimbizi kuishawishi UN kuisaidia mikoa hiyo na kuiunganisha na mikoa mingine kwa barabara za lami?

  :target:
   
 2. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Usishangae ndugu yangu, kwani Umoja wa Mataifa, kama International Organizations zote, zinategemeana na policy za nchi. Kama ulivyosema hapo juu, Serikali yetu yenyewe imelala, sasa unadhani wao watafanya nini? Halafu, wenye Kigoma yao (WENYEJI) wako wapi? Kila mtu anakimbilia kwenda kuishi na kujenga D'Salaam kwenye UFISADI, huku mkoa wao unaendelea kuangamia.
  Hata mbunge ambaye watu wote walidhani kwamba angesaidia mambo ya huko Kigoma, naye anattafuta majimbo tajiri akagombanie UBUNGEE. Hee eeee eee. Kweli dunia ina mbano.

  Waha, wajiji, na Wamanyema nyie mlie tu. Kajengeni D'Salaam kama Wapemba, huku kwenu kunabomoka.
   
Loading...