Urgent: Sitta or Dr Slaa for global anti-corruption award

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Transparency International seeks nominations to recognise inspirational anti-corruption heroes

Berlin, 19 April 2010


The deadline for nominations for the Transparency International Integrity Awards 2009-2010 has been extended to 30 June, 2010.

Launched in 2000, the awards recognise individuals or organisations whose unfaltering courage and determination are making a distinct difference in curbing corruption around the world from Africa and Asia, Europe, Latin America, and the Middle East. Past winners include public prosecutors, investigative journalists, government officials and civil society leaders.


The 2009-2010 Integrity Awards winners will be honoured during a ceremony at the 14th International Anti-Corruption Conference (IACC) in front of an audience of more than 1,000 individuals from the anti-corruption movement. This year’s IACC is in Bangkok, Thailand from 10 – 13 November.


For more information please see:
www.transparency.org/integrityawards.

Nominations for the 2009-2010 Integrity Awards will be accepted until 30 June 2010.
Wana JF,

Deadline ya ku-nominate mtu anayefaa kuwa jemedari kwenye mapambano ya ufisadi Tanzania inakaribia. Personally, mimi nadhani kwa Tanzania sasa hivi wanaofaa kuwa nominated ni Dr Wilbrod Slaa au Spika wa Bunge Samwel Sitta.

Slaa amekuwa mstari wa mbele kuibua tuhuma mbalimbali za ufisadi.

Sitta naye amekuwa na ujasiri wa kuliongoza Bunge kujadili maswala mbalimbali ya kitaifa, ikiwemo sakata la Richmond.

Huu ni mtazamo wangu tu, wakuu mnasemaje?
 
dont know y ....but have no faith in Sitta.....and i have a feeling that i wll never will
 
sittam mnafiki sana anauma na kupuliza
pendekezeza jina la slaa tafadhali
zito kigeu geu sana, amenza kuingiwa na roho ya usaliti.
 
dont know y ....but have no faith in Sitta.....and i have a feeling that i wll never will
Hata mimi nahisi hivyo hasa njkiangalia mlinganisho wa vitendo vyao vya hapo nyuma.
Sitta kukubali kujadiliwa hoja Bungeni hakuepukiki lakini DR Slaa hajawahi kubadilika hata hapo Bunge lilpokuwa sio wazi.
 
Mi nadhani ile kamati iliyochunguza Richmond pia inastahili pongezi kwahiyo kama inabidi basi apewe mwenyekiti Mwakiembe.....

kwanini simpendekezi Dr.Slaa, ukiwa upande wa Upinzani ni wazi kwamba wewe unakuwa mwepesi wa kusema lolote unaloona linafaa na pamoja na kupinga na kutoa mijadala ya kukosoa serikali au chama Tawala, kwa Dr. Slaa, kusema na kuendelea kusema kuhusu rushwa nchini na uozo wa serikali ni sehemu ya kazi yake; Ujasiri kwenye hili ni kwa yule mtu ambaye mazingira ya kumfanya ale rushwa yapo, kama vile yupo chama Tawala,yupo serikalini na ana nafasi nzuuri lakini akaamua kusimamia haki bila kujali maslahi binafsi na bila kuogopa, huo ndio ujasiri.
sasa ukiangalia suala la richmond lilikuwa ni suala tete,linalohusu vigogo wa chama na hata kuweka serikali sehemu mbaya maana yale yalikuwa ni maamuzi ya seriklai nzima na mtu aliyeshukiwa kuwa ni mhusika mkubwa alikuwa ni mkubwa wa nchi....lakini kamati iliweza kufanya kazi kwa ufanisi na kwa ushujaa bila woga kuonyesha dhuruma iliyotendeka.....hao ndio mashujaa, kwani walikuwa ni viongozi wa chama na waliokuwa wanawachunguza walikuwa viongozi wao....
sio hili lakini wapo viongozi wanaochukua maamuzi ya kishujaa wengi tu, hao ndio ninaoweza kusema tuwa-spot na wapendekezwe......
Zitto nae ilikuwa ni sehemu ya kazi yake kama mpinzani na amekuwa akiyumba sana kimsimamo, labda ameona sasa ameshakuwa maarufu, huwezi kuwasaliti wananchi waliokusaidia ukaingia bungeni na kuwa sababu ya kujulikana, unasema hadharani kabisa kwamba unafanya utafiti wa majimbo kujua wapi ugombee????
kuhusu mh.Sitta, hapana, hakuna hoja ya nguvu ya kuonyesha kiasi gani amepinga rushwa....

labda TAKUKURU pia wangeshauri kuhusu hili maana ndio wanaopokea taarifa nyingi za rushwa na kujua wapi kuna nini na nani?
 
Yeah ................Mwakyembe pia anastahili .............lakini ile issue ya umeme wa upepo naona kama unamharibia hapa?
 
Zito na Buzwagi!

Hata mimi naomba nikiri kuwa nilikuwa shabiki mkubwa wa Zitto baada ya issue ya Buzwagi. Out of nowhere, he became the shinning light of Tanzania's politics. Lakini mwenendo wake siku hizi umeanza kuleta mashaka makubwa, tena sana, kwa Watanzania wengi werevu. Kwanza aliunga mkono mpango haramu wa serikali kutaka kununua mitambo chakavu (used) ya Dowans, pili akapigia debe wazo unconstitutional la Rostam eti kutaka jopo la majaji lichunguze upya kashfa ya Richmond (kwa mujibu wa principle of separation of powers ambayo nadhani Mh. Mbunge huyu anaifahamu sana, haiwezekani one pillar of the state, judiciary, ikaingilia kazi za another pillar of the state, legislature) na tatu akamfagilia Dk. Idris Rashidi aliyekuwa TANESCO kuwa ni one of the best CEOs in Tanzania (kiongozi bora). By any means, hakuna mtu yoyote sasa anayeweza kusema -- with a straight face -- that Zitto's integrity is unquestioned. I think the growing consensus is that Dr Slaa is our man!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom