Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Duku duku zinazoenakana ndani ya Jamboforums (JamiiForums) ni kwamba itaweza kuwa Chama cha Upinzani 2010! Wachunguzi wamebaini kwamba wanachama machachari wa Upinzani na hata Chama tawala...
0 Reactions
148 Replies
16K Views
Wana JF mimi nilikuwa nataka tu discuss kwa nini viongozi wetu hasa waliopo madarakani Tanzania huwa wanakataa wasikae na wale contestants wao kutoka vyama vingine wakati wa kampeni ili kila mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bunge limeanza kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo Spika Sitta ameyapiga chini maswali matatu toka kwa wabunge watatu wa upinzani. Swali la kwanza lilitoka kwa Kiongozi wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
By Ani Jozen 13th April 2010 "African universities produce roughly one percent of academic titles issued annually around the world, a prominent local publisher said yesterday. Launching close to...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kinadharia, jamhuri yetu inasimamiwa na mihimili mitatu. Mihimili hiyo ni Bunge ambalo kazi yake ni kutunga sheria, serikali ambayo kazi yake ni kusimamia na kutekeleza sheria zinazotungwa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nani alisema kukwama kwa JK huko Marekani ni bure? Our President is busy 'promoting' our good country... Charity is All in the Family for Brad and Doug Pitt Brad Pitt 's equally handsome...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
SERIKALI, ambayo inahaha kujaribu kuzuia mgomo wa wafanyakazi uliopangwa kufanyika kuanzia Mei 5, imetangaza nyongeza ya asilimia 100 ya mishahara ya kima cha chini kwa wafanyakazi wa sekta...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
WATU zaidi ya 200 mchanganyiko wa raia wa Burundi na Tanzania wamepiga kambi katika msitu wa hifadhi ya Igombe, wilayani Uyui na kujitangazia eneo hilo kuwa Jamhuri ya Ukombozi na kutundika...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani wana JF:- Kutokana na kashfa ya Radar inayosadikiwa kwamba amehusika. Uingereza kukiri na kuamua kurudisha Tanzania kiasi cha pesa zizochukuliwa kifisadi. Kuwa na kiasi kikubwa cha pesa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi kinyume na ratiba yake...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Nimemsikia jana Bungeni Jaji Werema akikubali kwa lugha ya kisiasa kuwa sheria ya gharama za uchaguzi inabidi ifanyiwe marekebisho. Na katika vifungu alivyotaja ni kifungu cha 7 ambacho Slaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Date: 2/20/2010 Kila mbunge kuvuna Sh46 milioni za kiinua mgongo *Ni asilimia 40 ya mishara yate ya miaka mitano Exuper Kachenje Mwananchi KILA Mbunge ataondoka na zaidi ya...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Bajameni Aliye na majina ya wabunge waliodai serikali ya Tanganyika, maarufu kama G 55 atumwangie hapa. Kuna wingu zito linaunyemelea Muungano wetu hasa tunapokaribia kuadhimisha miaka 46 juma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Paschally Mayega RAIS wangu, vitabu vitakatifu vimeandikwa kuwa huwezi kuwatumikia mabwana wawili, Mungu na Mali. Lazima utamchagua mmoja. Wakale walisema chema chajiuza, kibaya chajitembeza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sad... and we are surprised we still poor besides all our natural wealth. 10 things we have learnt about Africa The Pew Research Center has just released one of the biggest ever studies on...
1 Reactions
83 Replies
11K Views
Jamani me ni mgeniii kabisa hapa JF, nimeipenda h forum manake kila naposoma hua najifunza k2, na kutokana na me kua mpenda kujua basi nimeona hapa naweza kufunzwa mengi zaidi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 sikupiga kura kwani uchaguzi ulikuwa wa wazi. CUF na DP waliongelea hili mara moja tu na kukaa kimya pengine baada ya kupewa nakala ya daftari la wapiga kura. Katiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Never heard of this Tanzania Education Trust Designer Kenneth Cole (L) and President Jakaya Kikwete attend the Tanzania Education Trust New York Gala hosted by President...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ndg. Wazalendo, nimefuatilia sana hizi safari za Mhe. kwenda Marekani naona sasa zimenichosha, safari zimekuwa nyingi, na anakaa muda mrefu kiasi kwamba shughuli nyingine inabidi afanyie Marekani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:target::target: Please Read Kigoma region in Northwestern Tanzania is among the poorest and most marginalized areas in the country. For decades Kigoma and the neighboring Kagera region have...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom