Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu ya leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 22, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Bunge limeanza kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo Spika Sitta ameyapiga chini maswali matatu toka kwa wabunge watatu wa upinzani.

  Swali la kwanza lilitoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Hamad Rashid Mohamed baada ya kurejea toka safarini Canada.
  Ameuliza kuhusu change ya Rada, Waziri Mkuu alipomwambia awe specific, Hamad Rashid akachemsha, akauliza swali jingine, spika akaingilia, swali likapigwa chini.

  Swali la pili ni toka kwa Mhe. Twahir Mohamed, aliuliza kuhusu suala la Mafuta, akaanza kwa dibaji ndefu, Spika akaingilia na kumsomea kanuni, maswali yawe mafupi, Twahir akaendelea kuuliza kuhusu kauli ya rais kukubali kuliondoa suala la mafuta kwenye mambo ya Muungano bila kulihusisha Bunge. Spika akaingilia tena, kuwa hamtendei haki Waziri Mkuu kucoment kuhusu bosi wake, rais, Spika akalipiga chini.

  Swali la mwisho ambalo Spika Sitta, alilipiga chini ni toka kwa Mhe. Halima Mdee ameuliza kuhusu tuhuma za Kainerugaba Msemakweli kuhusu Degree feki za viongozi. Waziri Mkuu alinyamaza kwanza, ndipo Spika akaingilia kati kuwa suala hilo liko mahakamani, hivyo swali likapigwa chini!.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Mama Kilango ameuliza baada tuu ya kuridhia itifaki ya soko la pamoja, amepigiwa simu kibao kuwa ardhi yetu ya mipakani imeshamegwa huko Kilimanjaro.

  Waziri Mkuu akajibu, kutokana na ufinyu wa ardhi ya Kilimanjaro, haiwezekani raia wa Kenya wakajimegea tuu hiyo ardhi, lazima kulikuwa na collaboration ya wazawa. Amesema serikali itafuatilia na Mama Kilango asaidie katika kubaini tatizo.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Halima Mdee anauliza kuhusu tuhuma za Kainerugaba Msemakweli kuhusu Degree feki za viongozi. Waziri Mkuu alinyamaza kwanza, ndipo Spika akaingilia kati kuwa suala hilo liko mahakamani, hivyo swali likapigwa chini!.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  6 anaanza linda Joho kwe kwe kwe
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Dr. Taarab Ali alitaka mabango ya sigara yazuiwe mabarabani kwa vile sigara zina madhara. PM akajibu ni kweli, sigara zina madhara ila uamuzi wa kuvuta au la ni uamuzi binafsi wa mtu, kama ilivyo kwa pombe ina madhara lakini watu wanapombeka. Akatolea mfano wa daktari mmoja chain smoker, yeye akamuuliza hivi daktari huoni kama unakaribisha kifo?, dakitari alijibu kuwa kila kifo huwa kinasababu, na kuna sababu nyingi sana za vifo na sio sigara!
  Mabango yaendelee kuwepo, ila onyo lazima liwepo, watu waendelee kuwa huru kutumia au la.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Kuna mbunge mmoja Alhaji, aliomba uchaguzi mkuu usifanyike siku ya Jumapili ambayo ni siku ya ibada kwa watu wa dini fulani. Kwanza Spika alifurahi Alhaji kuwaombea watu wa dini nyingine. PM alijibu uchaguzi hufanyika Jumapili, sio kwa sababu ni siku ya ibada, bali Jumapili ni siku ya mapumziko wa wote, hivyo nchi isipoteze siku ya kazi kwa uchaguzi, serikali imeonelea Jumapili ni siku nzuri kwa uchaguzi.
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu ni Kinyonga sio wa kumlia YAMINI!!
   
 8. m

  mwanamilembe Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So far sijaona swali lolote la maana aliloulizwa PM
   
 9. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nafikiri kwa maelezo ya Mkuu Pasco Mhe Sita yupo right
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Why Dk Slaa hamuulizi Mhe Pinda kuhusu daraja la kigamboni lisiloonekana?
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,451
  Likes Received: 5,842
  Trophy Points: 280
  Nimeona pia....Mdee alichemsha kumtaja Mahanga...angejumuisha lingekuwa swali zuri...
   
 12. coby

  coby JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa jibu la PM Ina maana hata watumiaji wa gongo, unga, bangi na mihadarati wapewe uhuru wa kutumia au kutotumia, shauri zao si wanapewa onyo!!!! T's doesnt make any sense
   
Loading...