Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Driving to nowhere: The value of a diversified urban transportation system in Dar es Salaam By RYAN WHITNEY 27th April 2010 Entrance to Umma Wa Wapanda Baisikeli (UWABA) Traffic in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Historia inatudhihirishia kwamba mkombozi wa watu ni mtu wa kujitolea. Ni mtu anayeweka maslahi yake pembeni na kuweka mbele maslahi ya wale anaotaka kuwakomboa. Hivi ndivyo alivyofanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rostam aibiwa zana za kumng’oa Selelii VIFAA vya kampeni vya Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz, vimedaiwa kuibwa katika mazingira ya kutatanisha. Wizi huo ulifanyika ofisi za kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekutana na hii habari katika Michuzi Blog na kujikuta nikijiuliza maswali kadhaa: 1. Ni haki kwa mfanyabiashara binafsi kutumia Mali ya Umma kukopa benki? 2. Kama hii kampuni ikifilisika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Investors reject Tanzania's "distorted" mining law Reuters, Wednesday April 28 2010 * Mining companies slam new mining law * Minister says companies acting like spoilt child By...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mashati ya rangi ya kijani,Khanga na Tshirt za UWT pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbali mbali Jijini Dar wamejazana Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza tangu asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imenichukua zaidi ya siku mbili kuitafakari riport ya REDET waliyoitoa juzi kuhusu mwelekeo wa siasa nchini, mwanzo nilikuwa siiamini lakini nilipoiangalia kwa undani nimeona kuna ukweli fulani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WABUNGE 143 kati ya 232 wanaotoka katika majimbo ya uchaguzi hawachaguliki, hivyo ni vigumu kurejea bungeni baada ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa utafiti...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni makala katika The East African la wiki hii, nimeiweka hapa ukumbini tuweze kuijadili. Hawa jamaa wa Nation media siku za nyuma mtazamoa wao kwa JK haukuwa positive na hivi tunaelekea kwenye...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Thursday, April 29, 2010 1:34 AM Ilimbidi spika wa bunge la Ukraine aombe hifadhi chini ya miamvuli kujikinga na mayai aliyokuwa akivurumishiwa na wabunge kabla ya wabunge wa chama tawala na cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba wadau tuangalie vyanzo vya fedha vya CCM kwa ajili ya kununulia Kapelo, Pilau, T-shirt na kadhalika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na madhara yake, Mimi nimejaribu kuangalia vyanzo hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WIKI chache kabla ya mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba kufanya ziara mkoani Arusha, mambo si shwari ndani ya umoja huo mkoani hapa baada ya wanachama kujipanga kuwashitaki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi sasa kuna harakati za uchaguzi katika chuo cha mzumbe lakini cha kujiuliza ya kuwa kwanini wasomi wetu tuliotarajia watoe mfano bora kwa kuchagua watu kwa sera na si nini wamewapa ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi si mwanasiasa na kwa bahati mbaya sana nimejikuta nikiichukia siasa kutokana na ulaghai na majigambo ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania. Nikiwa mkazi wa jimbo la kawe nimefikia mahali...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Katibu wa Kikwete aibuliwa jambo zito *Adaiwa kuanza kampeni za ubunge kwa jina la Ikulu *Akanusha kudai kuandaliwa Uwaziri Mkuu WAKATI mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ukiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgomo ulioitishwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umeingia dosari baada ya kubainika kutokuwa na tija kwa uchumi wa nchi na ustawi wa jamii. Ikiwa mgomo huo unaotarajiwa kuanza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Utafiti wa kura za maoni uliotangazwa na REDET umeonyesha kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo, CCM na Kikwete wangeshinda kwa zaidi ya asilimia 70. Sources: Channel Ten, StarTV, TBC
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Muasisi wa Muungano Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere Muasisi wa Muungano Hayati Abeid Amani Karume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VUTA nikuvute kati ya viongozi waandamizi wa Chadema wilayani Same mkoani Kilimanjaro iliibuka juzi wakati walipolumbana hadharani wakigombea kubaki kwenye kikao cha ushauri cha wilaya hiyo huku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom