Belief in witchcraft is highest in Tanzania with 93%! - BBC

Belief in witchcraft is highest in Tanzania with 93%! - BBC

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
722
Reaction score
458
Sad... and we are surprised we still poor besides all our natural wealth.

10 things we have learnt about Africa

The Pew Research Center has just released one of the biggest ever studies on attitudes to religion and morality in Africa, which has revealed a host of interesting facts.
Here are 10 things we have learnt from the study, which surveyed 25,000 people in 19 countries.

1. 75% of South Africans think polygamy is "morally wrong" - bad news for their president, as Jacob Zuma took his third wife earlier this year and is engaged to a fourth. However, the survey also revealed some possible double-standards. While only 7% of Rwandans approved of polygamy (although this did include women), a rather higher number - 17% - of men said they had more than one wife.

2. An overwhelming majority of respondents disapproved of homosexual behaviour. In three countries - Zambia, Kenya and Cameroon - this was a massive 98%. Interestingly, one of the countries with the highest numbers of people - 11% - accepting homosexuals is Uganda, where an MP is trying to get legislation passed which would punish homosexual acts with life in prison and even death in some cases. The former Portuguese colonies of Guinea-Bissau and Mozambique were also relatively tolerant of homosexuality.

3. Africa is probably the world's most religious continent, with more than 80% saying they believed in God in most countries. At least half of the Christians questioned expect Jesus Christ to return to earth during their lifetimes. In Ethiopia, 74% of Christians say they have experienced or witnessed the devil or evil spirits being driven out of a person and in Ghana, 40% of Christians say they have had a direct revelation from God.

4. Zimbabwe, where the Lemba people say they are the lost tribe of Israel, was not one of the countries surveyed. But 26% of Nigerian Christians said they traced their origins back to Israel or Palestine.

5. Belief in witchcraft is also common - about 40%; a similar percentage also visit traditional healers to cure sickness. Belief in witchcraft is highest in Tanzania with 93% - this is the country where witchdoctors say that magic potions are more effective if they contain body parts of people with albinism. Ethiopia had the lowest levels of belief in witchcraft - at just 17%. Belief that juju or sacred objects can prevent bad things happening was generally lower - between 20 and 30%. In Senegal, however, 75% thought such things worked - far higher than in Tanzania (49%). It may come as a surprise to learn that South Africa had the highest number of people - 52% - saying they took part in ceremonies of traditional religions, or honoured or celebrated their ancestors.

6. Predictably, there was also a religious split concerning alcohol, banned by Islam. Surprisingly, however, more Muslims in Chad (23%) approved of booze, than Ethiopian Christians (5%).

7. Attitudes to divorce showed a strong divide along religious lines in Nigeria. A massive 79% of Christians thought it was "morally wrong", while among Muslims, a narrow majority (46-41%) accepted divorce.

8. In recent years, Islamist hardliners in Somalia and Nigeria have introduced strict punishment based on Sharia law, such as amputating the hands of thieves and even stoning to death for adultery. The majority of people disapproved of such Sharia punishments. In Nigeria, they were backed by about 40% of Muslims and less than 10% of Christians. However, a majority did approve of whippings and amputations in Senegal and Mali. In nearby Guinea-Bissau, even 50% of Christians backed them. This was double the rate among Muslims in Ethiopia (25%) - maybe it feels like a more realistic prospect to them, as they share a border with Somalia and most Muslim Ethiopians are ethnic Somalis.

9. The survey also asked about material well-being in the world's poorest continent. Not so long ago, Cameroon regularly topped surveys of champagne consumption per head. However, a shocking 71% of Cameroonians surveyed said there were times in the past year when they did not have enough money to buy food. In Ethiopia, which is commonly seen as a country struggling to feed itself, the rate was far lower - at 30% - the lowest of all countries surveyed.

10. Ethiopia did, however, have the lowest numbers of people - 7% - who said they regularly used the internet. Rwanda's President Paul Kagame is striving to turn his country into Africa's answer to Silicon Valley and is being helped by the arrival of several new fibre optic cables off the east coast of Africa. He will be encouraged by the finding that 30% of his countrymen - the highest number - regularly browsed the web. Mobile phones, were far more common - with 81% of respondents in Botswana owning one. Many countries reported more than 50% having phones but here, Rwanda lagged behind at just 35%.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8620249.stm
 
This is scary but true!!!! Just imagine hata serikali inaonekana imekaa kimlengo wa juju juju! Hili ni tatizo kubwa na linahitaji kushughulikiwa kikamilifu and it should be now.
 
Na hizi nadharia tunazosoma vitabuni haziwezi kuzaa matunda; kwani maelezo yanayoleta mantiki na kuaminiwa ni yale ya profesa maji marefu au shekhe yahaya au wale wataalamu wa Bagamoyo mlingotini.

Huu ndio uwezo wa akili za watitu. Msomi mzima wa degree ya Havard, utamkuta uchi kwenye kibanda chenye uchafu, akikabidhi akili zake, elimu yake na kujiamini, kwa mganga wa kienyeji anayetumia vibuyu kutabiri (african forecasting?)
 
Na uchaguzi huu... kaaaaazi kwelikweli!!! hadi Mwana halisi litaandika habari za wanasiasa magagula!
 
Well, kisingizio kikubwa sana kinachotumika na watu kuhusu imani hizi za kishirikina ni kwamba "Hata vitabu vya dini i.e Bible, Quran etc. vinadeclare uwepo wa uchawi"

And this tells why hata the most educated, ne generation and even the new borns do believe in witchcrafts. But funny enough vitabu hivi vipo dunia nzima.
 
Lazima tuikomboe nchi yetu na hii laana. Ndo maana umaskini wetu ni ngumu kuutoa we are operating katika ulimwengu wa giza...Giza nene limetanda...Its time now to bring light na kila kwenye mwanga giza lazima lisalimu amri am not waiting for any body; I am fully involved in this mission and would like all with sound mind to join my club..Not by mighty nor by power but through the holly spirit. we are given the power to tread on serpents and scorpions and over all the power of the enemy: and nothing SHALL by any means hurt us. Let us therefore fear, lest, a promise being left us of entering into his rest. For we which have believed do enter into rest. Let us labour therefore to enter into that rest lest any Tanzanian fall after the same example of unbelief..

Hatuwezi kuongozwa na nguvu za giza noooo I refuse atleast this I am able to do for there is no democracy in the kingdom of God as Him Yahwe is not a respector of a person yeyote amwendeae humjibu na humtumia kwa sifa na utukufu wa jina lake. Ole kwenu ninyi mnao tumainia miungu yenye macho lakini isiyo ona na yenye masikio lakini isiyo sikia anguko lenu ni kubwa mno kwa utukufu mliojitukuza ndivyo anguko lenu lilivyo. Lazima bendera ya Mungu wa kweli isimame Tanzania na kila goti lita pigwa na kila ulimi utakiri hakika kwa Mungu wetu kuna nguvu na utukufu.
 
Tunaposoma habari kama hizo jamani lazima tuwe makini pia.Tusiende moja kwa moja kulaumu nchi maana study nyingine pia huwa zina matokeo yaliyo biased or rather inclined kwenye upande fulani.Kwa kusema hivyo simaanishi kuwa napinga kuwa Tanzania kuna watu wengi wanaoamini katika nguvu za giza la hasha ila lazima kuangalia facts ambazo zimekuwa stated kwenye findings ha hiyo habari kwa ujumla....nimesoma hiyo habari kwa haraka lakini sioni sehemu yeyote inayo-indicate methodology iliyotumika kwenye hiyo study hii ni muhimu sana katika kutupatia picha halisi ya study lakini kingine muhimu study haizungumzii sample yaani source ya hizo data ni wapi na hapo ndipo naona kuna tatizo kubwa.

Kwa mfano mtu kama anazungumzia suala la viso vya albino na data zake entirely anachukua toka Mwanza ambapo hili suala ndo limekuwa kubwa sana basi matokeo yake lazima yatakuwa inclined kwenda kwenye upande fulani kwa hiyo mimi nafikiri pamoja uzuri wa hiyo study na report ambayo imekuja hapa nafikiri tunahitaji details zaidi ili kuweza kuangalia kama hii study inatupa hali halisi ya nchi yetu.Ni mtazamo tu!
 
Mkuu nakubaliana na hoja yako, lakini kwenye ukweli nadahani hatuhitaji hata kujua research methodology iliyotumika and after all hakuna reserach methodology isiyokuwa na margin of error, na ktk nchi za kiafrika margin of mistake I should say.

Hivi mfano ikifanyika research na ikakonkludi kwamba watanzania say 70% ni masikini wanaoishi chini ya dola mbili kwa siku, wewe kama mtanzania unahitaji kujua research methodology kuadmit hilo?

Mimi nadhani, on my personal opinion suala hili la imani za kishirikina ni tatizo kubwa Tz na kama tunakubaliana na hili it is high time to find a solution, ikiwezekana hata kufanya utafiti wetu wenyewe!
 
Article imejaa ujinga na utumbo mtupu na inashangaza watu mnatukanwa na kuanza kushangilia na kuimba chorus ya wimbo wenye kuwatukana!.

Yaani unaezaje kuchukua ka-sample ka watu 25000 ktk nchi tisa na kutolea serious conclusions ??
 
Kwanza inabidi watu waelewe tafauti ya traditional healers na waganga wa uchawi. Traditional healers from East sucha s China et al, are increasingly popular even in the west, na kuna nchi nyingine wameeza hata kuziendeleza hizi alternatives treatment methods na vyombo vya kisasa vya kielectronic. Ila muafrika anapofanya hizi tiba mbadala inakuwa nongwa!

Ikumbukwe sehemu kubwa ya bara letu bado ipo nyuma ktk hudma za kijamii. Hivo kule vijijini kabisa their only hope kwenye mambo ya afya huwa ni kwenye hawa waganga wa asili. No matter how reliable they are, people over those areas have little choice.
 
Sijaona sehemu article hii ikizungumzia uganga wa uchawi all it has ni "Belief in witchcraft" au kwa kiswahili kama sikosei ni imani za kishirikina. Na kuhusu kutukanwa labda wewe ndiyo umeinterprate namna hiyo kama unacriticize research methodology or a sample that is another story ila imani hizi zipo kwa kiasi kikubwa in TZ. JuST do your own personal research kwa watu ulio karibu nao waulize just a simple question je wanaamini uchawi upo au la? You will be shocked mkuu and most probably hata wewe you answer will be yes, why the bible or the quran sayh so.
 
Of-course wanatukana kila muafrica hata wewe mwenyewe japo unashindwa ku-admit kwa uoga au ukosefu wa kuelewa contextual meaning. Hawezi mtu amefanya sample ya watu 25000 kutoka kwa nchi tisa tu (kati ya 51 za africa).na matokeo akayaripoti kama 'Waafrica this Waafrica that'. Thats that.

Uganga wa uchawi inatofautiana vipi na witchcraft??Inaonekana hujaelewa meseji ya article. Article inataka kuonesha kwamba waafrika wanaamini ktk mambo yasiyo na credibility na wana-backward thinking. Isome vizuri article halafu uone wanavotoka kwenye ka-sample kadogo na kutoa very bold conclusions. Sentensi kaa hii inaonesha how narrow, shallow and pethetic hii article ilivo.

this is the country where witchdoctors say that magic potions are more effective if they contain body parts of people with albinism

Ni wazi kuwa hawana walijualo hawa wanaojiita 'researchers'. Wanaeka chumvi nyingi ili 'watoke'. Matukio ya kuchukua viuongo vya binadamu market yake haswa sio kwa matumizi ya Tz au wachawi wa Tz. Masoko ya bidhaa kama ngozi au viungo vya albino masoko yake yapo Zambia, Afrika Kusini na nchi nyengine huko kusini mwa Africa.
 
Sijui idadi ya watu waliochangia hii topic kwenye forum hii inaashiria nini!!?
I'm pondering.
 
Tunaposoma habari kama hizo jamani lazima tuwe makini pia.Tusiende moja kwa moja kulaumu nchi maana study nyingine pia huwa zina matokeo yaliyo biased or rather inclined kwenye upande fulani.Kwa kusema hivyo simaanishi kuwa napinga kuwa Tanzania kuna watu wengi wanaoamini katika nguvu za giza la hasha ila lazima kuangalia facts ambazo zimekuwa stated kwenye findings ha hiyo habari kwa ujumla....nimesoma hiyo habari kwa haraka lakini sioni sehemu yeyote inayo-indicate methodology iliyotumika kwenye hiyo study hii ni muhimu sana katika kutupatia picha halisi ya study lakini kingine muhimu study haizungumzii sample yaani source ya hizo data ni wapi na hapo ndipo naona kuna tatizo kubwa.

Kwa mfano mtu kama anazungumzia suala la viso vya albino na data zake entirely anachukua toka Mwanza ambapo hili suala ndo limekuwa kubwa sana basi matokeo yake lazima yatakuwa inclined kwenda kwenye upande fulani kwa hiyo mimi nafikiri pamoja uzuri wa hiyo study na report ambayo imekuja hapa nafikiri tunahitaji details zaidi ili kuweza kuangalia kama hii study inatupa hali halisi ya nchi yetu.Ni mtazamo tu!

Kuna method ina itwa "Direct Observation" (DO) kwenye socio-economic research waifahamu hiyo? Na unajua kuwa Participatory Rural Apraisal (PRA) haihitaji hiyo statistical sampling approach unayoitegemea ambayo practically ni difficult to implement in empirical data collection? Sasa tuje tu haraka haraka kwenye direct observation matukio mangapi ya albino killings na mikoa mingapi iko involved calculate proportion yake kwenye population ya Tz; then njoo kwenye events za kisiasa ni matukio mangapi tukianzia na 'Unga wa bungeni' na matangazo ya hivi karibuni yaki supportiwa na very highly respected institution; njoo kwenye dini matukio kwenye media ya misukule kufufuliwa and other funy stories, njoo mahakamani matukio ya mtoto na mama yake kukutwa na kichwa cha mtoto aliyekufa..hiyo ni ile ninayoyaijua ukikagua kesi mahakamani za jinsi hiyo bado I think yatakua mengi zaidi ya haya; then njoo kwenye accademics ni shule ngapi zime reportiwa walimu kukimbia kwa kuogopa ushirikina na watoto kuanguka wakihusisha it to imani ya kishirikina; bado report nyingi za ajali watanzania wamezihusisha na ushirikina etc etc. Hapo wasemaje unahitaji sampling ipi sir? Achana na methods za kizungu hapa tupo bongo na methodology za socio-economics zina hitaji kuzi invent wewe mwenyewe researcher na si kukariri tu. Ukifanya simple random sampling hatari ni kua unaweza at one time kupata 100% au 0% kutokana na bias ya researcher on choossing sampling frame. Lazima ufanye purposive sampling huku wewe researcher ukitakiwa kuwa na prior information through direct observation na kuwa insider. Nakubaliana na one member kuwa badala ya kukataa tu huku evidence zikiwa wazi wazi basi ni bora tuingie katika detailed studies...Hiyo ilikua situational analysis sasa wasomi wetu wa social anthropology topics hizo zime letwa kazi kwenu kuja na detailed studies ku acertain those hypotheses.

Ni conclude tu kwakusema imani ya kishirikina nitatizo kubwa mno kunzia kwa common citizen, politician, kwenye bussines mpaka professionals...Itakua ajabu kama tutakataa huu ukweli badala ya kukubali na kutafuta ufumbuzi and am very serious on this. Ni mpaka ijulikane kuwa hakuna faida katika kuamini kwa Kalumanzila.

For me I take it spiritualy ndiyo maana niko confident kwamba I Shall win the battle maana the God I believe is more than able hahitaji democracy iamue bali hata akiwapo mmoja aliekataa kuamini katika hilo can work through that personerlity.
 
Sijui idadi ya watu waliochangia hii topic kwenye forum hii inaashiria nini!!?
I'm pondering.
Ndg yangu ukweli kwa watu wengine huuma sana kiasi kwamba hupofusha fikra zao kabisa
Kwa nchi yetu yenye maji matamu 18% ya dunia nzima,Ardhi tele,Madini tele,Kila aina ya raslimali iweje tuwe masikini kiasi hiki????!! waulize walioko kwenye siasa watakuthibitishia nguvu za giza jinsi zinavyopewa nafasi kubwa Tanzania. mpaka ngazi za juu kabisa tunaamini wanakumbatia imani ya ushirikina iweje ndg yangu hata hilo asilione '' avoid your defensiveness and allow others critisisms UPONE, Mungu huliacha taifa liendalo ktk giza, 2 Thesalonike 11 =( Kwa hiyo Mungu huwaletea UPOTEVU wauaminio uongo.)
 
The guy is a 'tosser' assuming the writer was a male. Kwanza angalia headline yenyewe hipo as if the article was based on a well conduct research only to discover the sample cant be taken seriously for evidence. That is based on the amount of people in those nations and the ratio would be two weak to conclude anything. How he conducted his research remains a mystery. But for him to write nonsense like that i have to side with one commentetor nia ni kutuletea dharau tu. Angekua anauliza swali is that the case yes?, may be ningemuelewa lakini kuja kujifanya anaelewa the score based on his sample you know this is just another bigot journalist cooking propaganda for his audience.

Hii si kukataa the problem bali you have to adress it appropriately na si kutunga au kuhisi. Kuzungumzia 'direct observation' nayo ni utata mwingine, kwa mfano the UK wanahiki chama chao cha BNP (a racist party) ambacho ni most popular in some parts of northern england and highlevels of racism in some places. Unfortunately those areas also have huge labour support, coming election time most voters opt for labour than them. As a result mpaka kiongozi wao kaamua aje agombee south east (london) in areas you wouldn't think racism existed that much. Ameingia na gia ya immigration card kwa kuwa kuna high level of immigrants in those parts and wazungu-waswahili aka cockney with less education in comparable to english standards.

Point hapa ni hivi yes kwetu kuna hayo mambo ya kijinga na wote tunajua au tunaelewa. Lakini kuyajua, kuyaelewa au hata kuyafahamu aina maana watu wote hao wana participate katika hivyo vitu. La sivyo hao waganga wangekua na huge customer base tena by appointments only and very wealthy individual kwani wana charge for their services.

Therefore ingawa watu wanafahamu may be at the end they opt for their god/s no wonder religious people are the wealthy ones.
 
Brother Juma waambie hao.

Unajua the mzunguz are very clever. Kitu kikubwa walichopfanikiwa ni kutuzuia kuwa na fikra huru. Uhuru wa fikra humfanya mtu kujidharau na kuamini chochote hata kama anaona hakiko sawa hana confidence ya kukikataa.

Hata tu hiki kitendo cha kuleta habari kutoka chanzo cha Wazungu ni dalili tosha ya kufanikiwa kwao ktk kutufanya tuone mambo vile wanavotaka wao. Sadly watu wengi hapa hawajaona meseji iliojificha kwenye hiyo article, na kwa kweli binafsi hili linaniumiza zaidi kuliko hiyo article yenye majumuisho ya vijirisechi uchwara.
 
NI kweli serikali yenyewe imekaa kiuganga uganga si mnakumbuka mauzauza ya Chenge bungeni, shekh yahya na utabiri wa kifo kwa wapinzani na ikulu kubariki huo utabiri, na wiki iloyopita wamasai wamekata mkono wa albino morogoro na vile vile watu kung'ang'ania uvumi wa mtu kuota manyoya daraja la salenda.kwa namna moja hayo mambo yanathibitisha ni jinsi gani jamii yetu imejikita ktk mambo ya ushirikina.
 
Of-course wanatukana kila muafrica hata wewe mwenyewe japo unashindwa ku-admit kwa uoga au ukosefu wa kuelewa contextual meaning.
Tusi manaake nini labda tueleweshane, pili unaposema nashindwa kuadmit kwa sababu ya uoga kumuogopa nani???? na kama ni uelewa basi wewe ndiyo hujaelewa, hapa inazungumziwa Africa and the research is about there sasa kama unataka ya Asia, Australia, America work yourself up utapata tu. Mkuu unadisplay a typical Tanzanian attitude ya kutokukubali kukosolewa au kuhojiwa hata kama kuna ukweli

Hawezi mtu amefanya sample ya watu 25000 kutoka kwa nchi tisa tu (kati ya 51 za africa).na matokeo akayaripoti kama 'Waafrica this Waafrica that'.
Wewe ulitaka sample ya watu wangapi?????????? Thats that.
.
Uganga wa uchawi inatofautiana vipi na witchcraft??
Hili swali inabidi uulizwe wewe maana hiki ndicho kilichopo kwenye article lakini wewe ndio unajifanya kuleta mambo ya ooh Traditional healing etc. etc. ambayo haimo kwenye hii article.

Inaonekana hujaelewa meseji ya article. Article inataka kuonesha kwamba waafrika wanaamini ktk mambo yasiyo na credibility na wana-backward thinking. Isome vizuri article halafu uone wanavotoka kwenye ka-sample kadogo na kutoa very bold conclusions. Sentensi kaa hii inaonesha how narrow, shallow and pethetic hii article ilivo.
Mkuu acha jazba, na hii konklusheni unayotoa ni yako, kila mtu ana uhuru wa kuevaluate matokeo ya huu utafiti. Mimi kama mtanzania naona kuna tatizo la ushirikina nchini kwangu na ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo, huu si utafiti wa kwanza kuhusu suala hili. Sasa wewe unayeona ni matusi au kejeli kwa waafrica kalagabaho. Usilazimishe mtizamo wako kuwa universal. Pia inaonyesha kwa uelewa wako biased umeashakonkludi kwamba utafiti huu umefanywa na wazungu. What a low thinking.

Ni wazi kuwa hawana walijualo hawa wanaojiita 'researchers'. Wanaeka chumvi nyingi ili 'watoke'.
Huu mtizamo wa kila jambo linachofanywa ni mtu anataka kutoka unatoa some hints kwamba wewe ni mtu wa namna gani, na sasa naanza kupata picha kwamba hufahamu nini maana ya resarch na malengo yake. This is another topic tunaweza kufungua thread nyingine ueleweshwe.

Matukio ya kuchukua viuongo vya binadamu market yake haswa sio kwa matumizi ya Tz au wachawi wa Tz. Masoko ya bidhaa kama ngozi au viungo vya albino masoko yake yapo Zambia, Afrika Kusini na nchi nyengine huko kusini mwa Africa.
Du mzee ina maana huko Zambia, SA etc. hakuna albino? Why kill an albino in Tanzania and have all the hassles to transport the body parts to South Africa? South Africa ni mojawapo ya nchi ambayo inaongoza kwa uhalifu mkubwa mkubwa ikiwemo mauaji, sasa unataka kusema wanaogopa nini kuua albino mpaka wacontract watanzania????????????? . Kumbuka jazba haisaidii kama kuna ukweli we need to admit kutafuta solution na kusonga mbele. That is the name of the game

I rest my case.
 
Back
Top Bottom