G 55: Aliye na majina yote atukumbushe

G 55: Aliye na majina yote atukumbushe

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
1,093
Reaction score
1,737
Bajameni

Aliye na majina ya wabunge waliodai serikali ya Tanganyika, maarufu kama G 55 atumwangie hapa. Kuna wingu zito linaunyemelea Muungano wetu hasa tunapokaribia kuadhimisha miaka 46 juma lijalo.

Heshima kwenu
Baija
 
nafikiri mwenye jibu sahihi ni Philip Marmo
 
Wingu litoke wapi bana? acha kututisha na siasa zenu za umbea, unafiki na chuki!

Muungano unazidi kuimarika wakati huu wa Kikwete tatizo hamtaki wazanzibar wapatane kwakuwa there are muslims, alipenda hayo sana mt.nyerere na nkapa ..sasa wataelewa wenye wivu jinyongeni.
 
Wingu litoke wapi bana? acha kututisha na siasa zenu za umbea, unafiki na chuki!

Muungano unazidi kuimarika wakati huu wa Kikwete
tatizo hamtaki wazanzibar wapatane kwakuwa there are muslims
, alipenda hayo sana mt.nyerere na nkapa ..sasa wataelewa wenye wivu jinyongeni.
Mdini , udini, ujinga..... uhafifu wa mawazo
 
Njelu Kasaka deal maker,Eliakim Simpasa,Edith Munuo,John MKWAMISI Malecela,Philipo Marmo(Akoo).........................................
 
Generali Ulimwengu anaweza kutupatia hayo majina
 
Back
Top Bottom