Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 567
- 10
Duku duku zinazoenakana ndani ya Jamboforums (JamiiForums) ni kwamba itaweza kuwa Chama cha Upinzani 2010!
Wachunguzi wamebaini kwamba wanachama machachari wa Upinzani na hata Chama tawala wameona kiunganishi hichi ambamo wanaweza kuweka bayana yanayowagusa Wananchi na kuchambua kwa uwazi ni kigezo kizuri cha kuendesha shughuli za bunge!
Mpaka naenda mtamboni huu ni uzushi tuu lakini Yawezekana?.