Katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika mji wa Moshi yametajwa majina ya madiwani 12 wa CCM ambao wamengoza kwa kutoa, kutetea na kunyamazia hoja zinazodhoofisha maendeleo ya Moshi...
Chama kipya chenye usajili wa muda cha CCJ ambacho ni mbadala wakiitikadi, mwelekeo, mfumo na uongozi wa CCM kitafanya mkutano na waandishi wa habari Alhamisi Mei 13, 2010 majira ya saa saba...
Wakati akiwahutubia wazee wa ccm wa mkoa wa dar es salaam kuhusu mgogoro kati ya serikali na tucta ni dhairi kabisa mhe. Rias alionekana ni mtu mwenye jabza, asiyejua utawala bora na aliyolewa...
Kumekuwa na mjadala mpana kuhusu Dk. Wilbrod Slaa, Mbunge wa Karatu na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kugombea Urais mwaka huu ili apambane na Kikwete wa CCM.
Kwa maoni yangu, Slaa...
Zote hizi ni kwa mwezi:
[24 x 2,422,000 =
21 x 2,046,000 =
27 x 2,080,000 =
1 x 4,850,000 =
1 x 4,850,000 =
323 x 1,921,000 =
127 x 1,921,000 =] [12]
The process is also known as "the order...
Nyerere aliwahi kusema hivi "mtu akiwa anajua kuwa una akili timamu, akakwambia kitu cha kipumbavu na akajua unajua ni cha kipumbavu na ukakubari, atakudharau"
Leo hii tunapojiandaa na uchaguzi...
MIONGOZO iliyotolewa na madhehebu ya dini za Kiislamu na Kikristo nchini kuhusu uchaguzi mkuu, haina matatizo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Philip Marmo amesema.
Pia amesema Rais...
mimi naona jeikei haitaji kura za wafanyakazi..............
HAZINA MAANA SANA KWAKE,kwasababu wafanyakazi wenyewe ni wachache sana ukilinganisha na watanzania wengi wenye njaa zao......
sasa kwa...
Wananchi na wana jamii wenzagu
Kiu -halisia mshahara wa kima cha chini cha zaidi ya US dola 300 kwa wafanyakazi wa Tanzania hautekelezeki.
Haiwezekani na haiwezekani, mfanyakazi anayedai huo...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimebadili utaratibu wa kuwapata wagombea ubunge na udiwani kwa kuruhusu wanachama wao wote kupiga kura za maoni, uongozi wa chama hicho wilayani Sengerema, mkoani...
Katika jimbo fulani kuna bango linalomnadi mbunge wa sehemu hiyo hivi: Baadhi ya misaada mbalimbali niliyotoa kwa wanajimbo langu binafsi:
Nilisaidia upatikanaji wa majeneza pamoja na kusafirisha...
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Mei 12, 2010
Wakuu wa mikoa, wilaya wafanya mikakati ya siri
Wafanyakazi serikalini, sekta nyeti wakosa morali
SERIKALI haikujiandaa kupata wafanyakazi mbadala...
ONA HII
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 75 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977,inawatangazia wadau wa Uchaguzi na Wananchi kwa ujumla kuwa...
I'm a youth, a CCM member, and one among the many victims of Jakaya's myths; infact i was on my final year (undergraduate) when this gentlemen visited the campus, and to be honest i was really...
Sasa mwanzo serikali ilipiga kelele; sasa inakuwaje mizuri? Je ukiangalia ni upi kati ya ule wa waislamu na wakristo una tija kwa taifa letu? Kingunge yuko wapi sasa? Au amekwisha uelewa kwa muda...
Oktoba 1966 kundi la wanafunzi kama 400, wengi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliandamana hadi Ikulu kwenda kupinga sera mpya ya kuwataka kwenda kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa wakiwa...
Kagames iron whip imposes tough discipline in Kigali
By Harold Ayodo - The Standard, Nairobi
A Kenyan stepping out of a downtown hotel in Kigali, Rwanda, immediately realises they are not in...
......Pengine kwa nchi yetu hili lisingekuwa jambo la kutisha kama tungekuwa tumeanza kuona chama kizuri cha upinzani ambacho kinaweza kuiongoza nchi hii badala ya CCM.
Hakijaonekana bado...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Uchumi), Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini.
Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya kusimamia utekelezaji wa kura ya maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.