Kweli mnawalipa hivi watawala wenu? Kwa wanaojua hesabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli mnawalipa hivi watawala wenu? Kwa wanaojua hesabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 14, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Zote hizi ni kwa mwezi:

  [24 x 2,422,000 =
  21 x 2,046,000 =
  27 x 2,080,000 =
  1 x 4,850,000 =
  1 x 4,850,000 =
  323 x 1,921,000 =
  127 x 1,921,000 =
  ] [12]

  The process is also known as "the order of operation"...  Ukipata jibu.. utakuwa na weekend mbaya kweli!
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wamejaaliwa, sio dhambi yao.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Analipwa nani? bado sijapata jibu
   
 5. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mie simo humo, nilisoma arts
   
 6. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mzee Mwanakijiji

  Kwa hesabu rahisi kabisa ni 20*524*1,000,000=?


  Zidisha mara kumi na mbili utapata jibu sahihi unaweza kabisa ukamua kutomsalimia mtu milele.

  Yaani 12*542*1,000,000=?

  ukimaliza tafuta lile Jedwali la Yule Mwalimu Bakari wa Mzumbe then utaniambia kama tunashindwa kufanya maamuzi magumu

  Ndiyo Mkapa aliweza kufanya maamuzi magumu(rejea hotuba aliyoitoa Muungwana huko Msumbiji) na Jana Davi Cameron kaamua kupuinguza asilimia Tano ya mishahara ya Mawaziri wote na yeye Mwenyewe.
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Rais, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Mawaziri, Ma-Naibu Waziri,......
  Halafu kulipa kima cha chini 315000/= hela hakuna hata kwa miaka 8 ijayo! Na hapo posho zao nyingine zinawasubiri.
  Angalieni pia mishahara ya wakuu wa TAASISI na Mashirika ya UMMA ukianzia na Gavana wa BOT. Utazimia.
   
 8. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2010
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mhhh!
  kweli aliye nacho huongezewa (hujiongezea?)
  Na asiye nacho hunyanganywa hata kidogo alichonacho (kwa virungu, risasi baridi, risasi moto nk)
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Huwa yanaitwaje Yale ya kutengenezwa kwa mafuta ya taa! Yalianzia urusi nafikiri......unswe ukajikuta unatayatengeneza kadhaa hivi ready for the asault!
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ni bora sasa wangekuwa ni wachapakazi, sio mafisadi, wezi, wabadhirifu, watu wa maadili yote, viongozi,.....Lakini ni kinyume chake. Mawaziri wanazishukia taasisi na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kama mwewe kwa vifaranga, wanasaini mikataba ya ajabu, Gavana wa BOT anaikubali EPA, ........
   
 11. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kaazi kweli kweli.,haya bwana sie wengine bado ni Watanganyika na hao wenzetu ndio Watanzania.
   
 12. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huo ni mshahara tu ukiweka na posho ambayo ni mara mbili ya mshahara unazimia pamoja na hayo bado huwa wakali unapogusia wengine nao waongezewe mishahara
   
 13. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mwanakijiji nimepata jibu...hakika week end yangu itakuwa mbaya na dalili nimeiona ku moyo!!!
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  The problem is not necessarily they pay itself, the problem is the cost+benefit. What benefit are Tanzanians getting from the cost of paying our leaders their salaries? I think there are a very few leaders who are worth that pay but sadly most of them are a failed investment on the part of the voters.
   
 15. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  12 x 542 x 1,000,000= 12, 542,000,000/-
   
 16. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #16
  May 14, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kaka yangu MK,
  Mbona umeamua kuharibu ijumaa yangu.
  Nilidhani kususa kuingia huku ni suruhisho, wapi... leo nimechungulia tu.
  Machngu......arrg!! Haya ndo yanayonifanya nikimsikia muungwana analialia tu masikini naumwa kichwa.
   
 18. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mie sijaelewa, naomba kusaidiwa
   
 19. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #19
  May 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  viongozi wa tanzania wana raha kwani wametupata raia baridi sana,
  tunavumilia kila lijalo, wepesi wa kustuka na rahisi wa kusahau,

   
 20. M

  Matulanya Member

  #20
  May 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dah! kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo! weekend yote imeharibika hapa nafikiria kujipanga nami nikaanzie kwenye Udiwani then nije kwenye ubunge..Kumbe ndo mana Slaa alikuwa mbogo kuomba wamlipe posho na mshahara wa ubunge wa miaka mitano kama wanataka akagombe uraisi..ameona mbali..cause its obvious chadema hawawezi kushinda na yeye atakuwa amepoteza ubunge wake.
   
Loading...