Nyaraka za kidini kuhusu uchaguzi mkuu ruksa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyaraka za kidini kuhusu uchaguzi mkuu ruksa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, May 13, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Sasa mwanzo serikali ilipiga kelele; sasa inakuwaje mizuri? Je ukiangalia ni upi kati ya ule wa waislamu na wakristo una tija kwa taifa letu? Kingunge yuko wapi sasa? Au amekwisha uelewa kwa muda wote huo?

  Source: Habarileo 13 May 2010 (front page)
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Je yawezekana CCM wamekwisha pata mbinu ya kushinda hata kama hizo nyaraka (waraka wa wakristo na ule wa waislamu) zitafuata? Walipokuwa wanapiga kelele walikuwa hawana mbinu? Au ni namna ya kuchota mawazo ya dini zote mbili? Maanake JK alikwisha sema asilimia kubwa ya watanzania ni bendera fuata upepo!
   
Loading...